Tumuombee sana Profesa J

Tumuombee sana Profesa J

Wakuingilia kati ni Yesu au ni Mungu aliyemuumba Yesu na aliyemuumba huyo Prof. J? Maana nijuavyo mimi huyo Yesu mwenyewe anamuomba Mungu. Mimi nasema, eeh Mungu uliyemuumba Yesu, Maria, Muhammad, mimi na Prof. J; muokoe mja wako toka ktk hali ngumu ya maradhi aliyonayo kama ulivyomuokoa mja na nabii wako Yunus toka ktk mdomo wa samaki Chewa. Hakika hakuna lenye kukushinda wewe Muumba mbingu, ardhi na vyote vya duniani na kila mahali. Hakuna anayestahili kuombwa kwa haki isipokuwa wewe pekee usiye na mshirika. Amen
[emoji2969][emoji24]
 
Mungu muweza wa yote tunaomba ampatie uponyaji kijana huyu. Wape moyo wa uvumilivu poa ndugu wanaomuuguza.
 
Back
Top Bottom