Tumuombee sana Profesa J

Tumuombee sana Profesa J

Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo[emoji26][emoji26]
Ulaji wa mavyakula ya hovyo, kuna vijana wengi sana mtaani ambao siku haiwezi kupita bila kunywa soda mbili au tatu, yaani kwa mwezi anakuwa amekunywa soda 60-90 huku maji akinywa glass moja au mbili kwa siku. Kwa huu ulaji hâta uwe na mwili gani huwezi kutoboa.

Kinachowauwa vijana wengi ni ulimbukeni.
 
Chuma kiasi chemsha chuja kunywa. Simple as that!
Ukienda soko la Kariakoo pale nje wanauza. Kifungu 500. Inasafisha mno figo. Pia unaweza kuipanda nyumbani kwako. Na ikistawi itumie pia kwenye chai kama kiungo.
Wanasema ya kuroweka ndio nzuri zaidi. Unaweka kwenye jagi kiasi na maji unafunika toka usiku mpk asubuhi. Then unakunywa. Au likewise.
 
Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥
Yasababishwa na mambo mengi.
 
Back
Top Bottom