Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ulaji wa mavyakula ya hovyo, kuna vijana wengi sana mtaani ambao siku haiwezi kupita bila kunywa soda mbili au tatu, yaani kwa mwezi anakuwa amekunywa soda 60-90 huku maji akinywa glass moja au mbili kwa siku. Kwa huu ulaji hâta uwe na mwili gani huwezi kutoboa.Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo[emoji26][emoji26]
Kinachowauwa vijana wengi ni ulimbukeni.