Tumuombee sana Profesa J

Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥
 
Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥
High Blood Pressure Inasababisha matatizo kama figo. Moyo. Stroke nk. Baba yake alikuwa na tatizo hilo, na yeye utakuta alikuwa nalo pia. Sometimes linarithiwa na family members
 
"Seed Oil" kama alizeti na mafuta mengi ya kupikia ni sumu na hatari sana kwa mwili kuliko wengi wanavyoelewa. Mafuta ambayo ni safe hadi sasa kwa mujibu wa wataalamu wa Lishe ni Olive Oil na Ghee/Samli Ukishindwa hayo gonga chukuchuku tuu.
 
Mungu amsaidie apone.kuumwa kunaumiza aisee
 
Pole kwa kuugua kwake namtakia kupona kwa haraka ili awese kuendelea na majukumu yake
 
Daaaah, prof. Jiiize!
Hard blasters crew (H.b.c)
Namuombea apone aise!
 
Aisee hatari, hivi hii issue ya figo kufeli imekaaje aisee naona sikuhizi inashika kasi sana tena kwa vijana wadogo. Ni nn hasa nikapelekea hali hiyo😥😥
Vijana kujidunga mapombe makali bila kula kitu cha maana ni hatari mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…