Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wazazi wanachangia sana kwani watoto ni vulnerable people wanahitaji kuangaliwa sana na kuchungwa piaIla wazazi nao waache kupenda kitonga[emoji848]...we mtoto umri wa kuwa shule, unampelekea r. Kelly eti sijui ni talent na takataka hizo....mwanaume ni wa kumuachia mtoto wa kike kweli, by nature ni viumbe vyenye exceptional feeling!...lazima mambo ya ngono yatawale!
Wazazi nao wana makosa hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanuona mtoto mdogo ana vitu vya thamani unaona kawaida tu
Kweli Mungu awalinde lakini na sisi tujitahidi kukaa nao karibu
I love my little girls to bit na ninawapa hela zaidi kuliko boys kwa sababu ya mahitaji yao mengi sio kama boys
Don't get me wrong nawapenda wote siwabagui ila hawa wanaoangaliwa na hyenas ndio jicho langu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk