Tumuombeeni R Kelly asifungwe

Tumuombeeni R Kelly asifungwe

Ila wazazi nao waache kupenda kitonga[emoji848]...we mtoto umri wa kuwa shule, unampelekea r. Kelly eti sijui ni talent na takataka hizo....mwanaume ni wa kumuachia mtoto wa kike kweli, by nature ni viumbe vyenye exceptional feeling!...lazima mambo ya ngono yatawale!

Wazazi nao wana makosa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazazi wanachangia sana kwani watoto ni vulnerable people wanahitaji kuangaliwa sana na kuchungwa pia
Unanuona mtoto mdogo ana vitu vya thamani unaona kawaida tu
Kweli Mungu awalinde lakini na sisi tujitahidi kukaa nao karibu
I love my little girls to bit na ninawapa hela zaidi kuliko boys kwa sababu ya mahitaji yao mengi sio kama boys
Don't get me wrong nawapenda wote siwabagui ila hawa wanaoangaliwa na hyenas ndio jicho langu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
[emoji16][emoji16][emoji16]...nakuelewa japo umejiwahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanumba alimbemenda sana Lulu
Kweli kabisa mkuu imagine alikuwa innocent little girl ambae akaja kupata matatizo yote haya
Parents ni wa kuwalaumu
Na haka katoto kanakochipukia sasa watakaharibu kabla hakajafika miaka 14 kama wazazi hawatamchunga kwa watu wachafu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ashafilisika na hapo ndo utaona wameanza kumshinda !! Naona kabisa R kelly akisongwa na msongo mkubwa wa mawazo?
 
Mzuqa!

Kila nikisikiza kibao chake if I could turn the hand of time yani I become very emotional. Tumuombeeni Robert asifungwe. Akipatwa na hatia atafungwa miaka 70.

Huu uonevu wa blacks ni too much. Bill Cosby washamsweka sasa wanataka wamuinginze Robert no way Lord ingilia kati.

Storm is over
 
MJ hapo akielezea walichomfanyia wazungu.
 
Back
Top Bottom