Tumuunge mkono Miss Tanzania atatuwakilisha vyema Miss World


Eish yaani we ndugu yangu ni bonge la mnduku....hujitambui
 
ukweli huyu dada nimemuona kwa tv,anazaidi ya miaka 25,huu ni mwaka wa uchakuaji.
 
Huyu binti alitakiwa kwanza mpaka muda huu awe polisi kwa kosa la kughushi ila kwa vile baba yake ni mbunge tena wa ccm hapo sheria zinakuwa hazipo nchi ipo mfukoni hii

Lete ushahidi wa kughushi acha kuropoka
 
Miss World hawataki mwanamke ambaye kashazaa kule. Huyu hawezi kufikisha viwango, ataishia kuwa Miss Lundenga.
 
Miss World hawataki mwanamke ambaye kashazaa kule. Huyu hawezi kufikisha viwango, ataishia kuwa Miss Lundenga.

Amezaa lini? wapi? lete ushahidi wa picha alivyokuwa anaingia leba。 Amekanusha kuwa na mtoto
 
Sitti mtampenda tu..time will tell
 

Suala ni kudanyanya umri ambalo ni kosa kisheria, nani nakuambia kukaa na wazungu au kuongea kiingereza ndo kujua ingekuwa hivyo basi wale Watanzani waliokuwa wakiwapeleka watoto wao Uganda wasingeacha, au wanafunzi wote wanaosoma english mediam wangekuwa wanafaulu wote na kwa kiwango kikubwa.
 

Sitti ameleta ushahidi wa cheti cha kuzaliwa.. Na wewe lete ushahidi wa kudanganya umri..
 
Mnaosema amedanganya umri mlikuwepo siku anazaliwa? wehu nyie
 

kwanini tumuunge mkono huyu anaekwenda kutuwakilisha mwakani na si huyu anaekwenda kutuwakilisha mwaka huu?
 
Amezaa lini? wapi? lete ushahidi wa picha alivyokuwa anaingia leba。 Amekanusha kuwa na mtoto

Amekanusha wapi?

Picha anayoingia leba ndo uthibitisho madhibuti kabisa kwako wewe siyo?
 
Duu hajafanya plastic surgery kweli kwan mi ckielewi kidevu, mashav na pua yake ilivyokaa
 
laki si pesa ni miongoni mwa makomedians hapa JF huwa anafanana sana na Nape Nnauye kuanzia tumbo mpaka akili!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…