Tumuunge mkono Miss Tanzania atatuwakilisha vyema Miss World

Tumuunge mkono Miss Tanzania atatuwakilisha vyema Miss World

Sitti ameleta ushahidi wa cheti cha kuzaliwa.. Na wewe lete ushahidi wa kudanganya umri..

Kaonesha cheti cha RITA alete kile cha hospitali kwani enzi hizo Rita haikuwepo, Muangalie hata mashavu yanaonesha ni bibi huyo anajiona binti.
 
Naamini Muda SI mrefu tutapata pia mwakilishi kwenye mashindano ya dunia ya USHOGA. Tuwaunge mkono pia, watalitangaza Taifa. Watanzania DHAIFU.
 
Asije akajibu OP tu huko miss world. .na zile attitude sasa
 
Wakuu.
Kuna vitu nimekaa na kuvifikiria kuhusu hili sakata la umri wa Miss Tanzania Sitti Mtemvu.,Hebu tujiulize, mamiss Tanzania waliopita ambao walikuwa watoto( wadogo kiumri) waliifanyia nini Tanzania? Zaidi ya kwenda Ulaya kuchezacheza tu na kushangaa magorofa..?
Kuna sifa za ziada ambazo miss Tanzania Sitti Mtemvu anazo kulinganisha na na mamiss wengine waliopita
1. Siti amesoma Marekani hawezi kuanza kushangaa shangaa magorofa.
2.Sitti anaijua vizuri lugha ya kiingereza ambayo taka usitake ndio lugha kuu ya mawasiliano kwenye mashindano hayo
3. Sitti ana elimu kubwa kulinganisha na mamisa wengine.
4.Sitti amekaa na wazungu muda mrefu so hawezi kujifeel inferior atakapokuwa nao kwenye mashindano.
5. SITTI ANA AKILI NA ANAJITAMBUA

Are u serious???
 
Yaani huyo bibi bomba ni shidaaaaaaa!!! Anadeserve 🔫🔫🔫🔫🔫🔫🔫 kujifanya kigoli wakati ni libibi!!! Akajambe mbele Huko!!!!! Yani kanichefuaaaaaaaa halafu liongooooooooo mumewe ana shidaaaaaaa, atadanganywaaaaaaaaa mpaka akome!!!! Mmmxxxiiieeewwww!!! 😂😂😂😂😂😂😭😭😭😭😭
 
Wanaohusika na vyeti vya uzazi na vifo wanatakiwa kujichunguza kwanza, cheti cha kubumba live kabisa
 
Team SITTI washaingia kazini, kazi kweli.siye yetu macho na masikio.
 
Miss Lundenga shingo tu imekomaa , sura imekushupaa hivi huoni aibu urongo wa wazi hivi ?? Hivi Mnatuonaje jamani !!!!!!!!
 
Halafu uzaliwe miaka ya 90 ukose cheti ?? na waliokuzaa wote wanaufahamu? Abeg mmejidharirisha Familia nzima , Toa Maelezo kuhusu Pass yako ilikuwaje iwe na mwaka tofauti ??? Kila la kheri na safari yako ya kwenda kumuwakilisha Lundenga na Mashoga zako sio sisi Watanzania wote ...
 
Na siku ukienda Miss world Tafadhali sana asipewe Bendera ya Tanzania , apewe shuka la Lundenga tu aende nalo maana huko kutakuwa ni kudharirisha Nyara za Serikali na Uchakachuaji wa wazi , Wapi Wizara ya Utamaduni ?? Kwa kuwa Mtoto wa Mnene mnapotezea eheeee angekuwa wa Tandale hadi haki za Binaadamu Mngejitokeza !
 
Halafu uzaliwe miaka ya 90 ukose cheti ?? na waliokuzaa wote wanaufahamu? Abeg mmejidharirisha Familia nzima , Toa Maelezo kuhusu Pass yako ilikuwaje iwe na mwaka tofauti ??? Kila la kheri na safari yako ya kwenda kumuwakilisha Lundenga na Mashoga zako sio sisi Watanzania wote ...

roho inakuuma unatamani wewe ndio ungekuwa miss Tanzania..
 
Back
Top Bottom