Tumwombee Mdude Nyagali, kesi yake inashabihiana na ya Yanga Omari Yanga ambaye amefungwa miaka 30 na Mahakama ya Rufaa

Tumwombee Mdude Nyagali, kesi yake inashabihiana na ya Yanga Omari Yanga ambaye amefungwa miaka 30 na Mahakama ya Rufaa

Tatizo la mdude cjui alikua anatumika?? Sina uhakika kama ni akili yake au pengine alikua anauza kweli? Kwasabu najiuliza mtu gan kila unavyokoswakoswa kutekwa nankuteswa juu kesho tena unarudia?? Yan hata mwenyekiti wake alifika sehem akatulia na mpaka akataka kukimbia nchi lakini yeye yumo tu tatizo nini? Washauri wake wa karibu na wa mtandaon walijitahid kumshauri aache bado tu alikua haelewi, watu walimtolea mfano wa ben saanane alivyopotezwa bado tu alikua haelewi?

Nadhani mdude anatatizo jingine zaid siyo kukosoa tu
 
Back
Top Bottom