Tumwombee msemaji wa simba kapofuka jicho moja

Tumwombee msemaji wa simba kapofuka jicho moja

Kisayansi inajulikana kwamba watu wenye ualubino wana uwezekano mkubwa kupat matatizo ya macho.
Mleta maada uzusha ya kwako.
 
Maradhi ni kawaida kwa binaadam. Nampa pole sana bwana Manala!
Angalizo: Wana msimbazi chondechonde msimtupe mithiri ya jongoo na mti wake kama mlivyomtendea Siang'a!
CC GENTAMYCINE
Kwenye kundi letu la watsap tumetoa tulicho nacho kumsaidia kupata matibabu
 
Sande manara =Haji Manara au ni ndugu?
 
Umeanza vizuri kisha ukatia kinyesi.

Mwenyezi Mungu uweza wako uwe juu ya afya ya Manara awe mzima.
 
Ndugu wanasports
Nimepokea kwa mshituko kuwa msemaji mkuu wa klabu cha simba s.c ndugu sande manara amepofuka jicho moja halioni kabisa na lingine lililobaki linaona kwa uhafifu sana
Hivyo sisi kama watu wa Mpira hatuna budi kuungana na familia yake katika kipindi hiki kigumu
Mungu amponye kwa hili tatizo lililomfika

Niwaonye pia viongozi na wapenzi wa yanga kama kuna kitu wanakifanya nyuma ya pazia waache Mara moja

Mambo ya kuvunjiana nazi yashapitwa na wakati

Mungu mbariki manara,Mungu ibariki simba s.c
Ndiyo sababu soka halipandi sababu ya uwepo wa imani kama hizi.
 
Sote sisi ni maiti wa Mungu, walemavu watarajiwa. Leo yeye kesho sisi, leo kwake kesho kwetu. Nashauri wana JF tupitishe harambee ya kumchangia ili fedha itayopatikana imsaidie kwa njia yoyote atayoiona mwafaka katika kukabiliana na tatizo hili. Namwomba Mungu ampe subira na moyo wa ujasiri katika kipindi hichi kigumu kwake. Mawazo na dua zangu ziko pamoja naye na familia yake.
 
Back
Top Bottom