Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Sababuu umezaliwakwenye uchawi unahisi.wore wachawiWaafrika kujifanya hawajui uchawi, nyie ndio yanga wenyewe wavunja nazi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababuu umezaliwakwenye uchawi unahisi.wore wachawiWaafrika kujifanya hawajui uchawi, nyie ndio yanga wenyewe wavunja nazi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
=kalogwa.Kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba karogwa?
Mimi sijazaliwa mwenye uchawiSababuu umezaliwakwenye uchawi unahisi.wore wachawi
Kwenye kundi letu la watsap tumetoa tulicho nacho kumsaidia kupata matibabuMaradhi ni kawaida kwa binaadam. Nampa pole sana bwana Manala!
Angalizo: Wana msimbazi chondechonde msimtupe mithiri ya jongoo na mti wake kama mlivyomtendea Siang'a!
CC GENTAMYCINE
Kweli mkuu huo ndio upinzani wa jadi wenye maendeleo na kujengaMwenyezimungu muweza wa vyote amponye mtani wetu.
Sande ni baba wa Haji msemaji wa SimbaSande manara =Haji Manara au ni ndugu?
Tumwombee aponeUmeanza vizuri kisha ukatia kinyesi.
Mwenyezi Mungu uweza wako uwe juu ya afya ya Manara awe mzima.
Yes, majina huchanganya sanambona msemaji wa simba sio sande manara kama ulivoandika ni haji manara,sunday ni kaka ake kama sikosei.
Ndiyo sababu soka halipandi sababu ya uwepo wa imani kama hizi.Ndugu wanasports
Nimepokea kwa mshituko kuwa msemaji mkuu wa klabu cha simba s.c ndugu sande manara amepofuka jicho moja halioni kabisa na lingine lililobaki linaona kwa uhafifu sana
Hivyo sisi kama watu wa Mpira hatuna budi kuungana na familia yake katika kipindi hiki kigumu
Mungu amponye kwa hili tatizo lililomfika
Niwaonye pia viongozi na wapenzi wa yanga kama kuna kitu wanakifanya nyuma ya pazia waache Mara moja
Mambo ya kuvunjiana nazi yashapitwa na wakati
Mungu mbariki manara,Mungu ibariki simba s.c
Hii habari amgeileta GENTAMYCINE ingenoga zaidi.
Sisi sote ni ndugu,..... Watoto wa baba mmoja.Kumbe mnanipenda na huwa mnanimisi sasa kwanini mara nyingi mnanifanyia " majungu? "