Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Leo baada ya Mechi ya CECAFA WOMEN CHALLENGE CUP baina ya Djibouti v.s Uganda, Tumzo alimhoji mfungaji bora wa Uganda.
Kumhoji mchezaji baada ya mechi ni suala la kawaida isipokuwa dukuduku langu limetokana na haya yafuatayo:
1. Tumzo alitumia lugha ya Kiganda kumhoji mfungaji badala ya Kiingereza au Kiswahili
2. Tumzo alionyesha furaha isiyo kifani kutokana na ushindi wa timu ya Uganda
3. Tumzo hakumhoji kabisa mchezaji yeyote wala nahodha wa Djibouti
4. Tumzo aliongea lugha ya Kiganda kwa ufasaha mkubwa kama lugha mama
5. Jina Karugira asili yake ni Uganda.
Je, ni Mtanzania mwenye asili ya Uganda au Mganda anayeigiza Utanzania?
Mwenye wasifu na historia yake atujuze ili kulinda ajira zetu na usalama wa nchi.