Tumzo Karugira wa Azam TV ni raia wa nchi gani?

Tumzo Karugira wa Azam TV ni raia wa nchi gani?

Ukiongea kifaransa uchunguzwe, Ukiongea kispanyola uchunguzwe, kikurya,kidigo,kijaluo,uchunguzwe.What nonsense!
Watu hawa wanataka Watanzania tusiseme upungufu au ukweli wa mambo,na tuamini kuwa kila afanyaye hivyo siyo RAIA.
Mnamaanisha Watanzania hawana akili na uwezo wa kukosoa?Mnataka kusema kila anayekosoa au kutoa maoni ni RAIA wa nchi nyingine?
Tunajitambua kuliko mnavyodhani,acheni kutupotosha.
 
Kuna uzi juzi umeletwa humu kisa alifanya mahojiano kwa lugha ya kiganda na mchezaji mmoja wa Uganda kwenye mashindano ya CECAFA ya wanawake.
Kwani katiba ya nchi hairuhusu Mtazania kujua lugha nyingine ya nchi jilani au? lakini hi nchi nasafari ndefu kama CCM alifanya makusudi kupumbaza watanzania kiasi hicho basi Mungu ndoatakae walipa
 
Kwani katiba ya nchi hairuhusu Mtazania kujua lugha nyingine ya nchi jilani au? lakini hi nchi nasafari ndefu kama CCM alifanya makusudi kupumbaza watanzania kiasi hicho basi Mungu ndoatakae walipa
Nimewahi kuishi mpakani mwa Tanzania na Kenya kwa miaka mingi na kujua vyema moja ya lugha inayozungumzwa na wakenya.
 
Ukiongea kifaransa uchunguzwe, Ukiongea kispanyola uchunguzwe, kikurya,kidigo,kijaluo,uchunguzwe.What nonsense!
Mimi nashangaa sana uelewa wa Viongozi wetu, Mbona pale Kyaka wilaya ya Missenyi na Kyela watu zaidi ya nusu wanaongea lugha ya Kiganda vizuri ni jamii ya wahaya itwayo waganda Kyaka mbona mnataka Wantazania waishi kwa wasiwasi
 
Kuna uzi juzi umeletwa humu kisa alifanya mahojiano kwa lugha ya kiganda na mchezaji mmoja wa Uganda kwenye mashindano ya CECAFA ya wanawake.

Wanaposema elimu haina mwisho wanamaana gani? Au elimu ya digrii 4 ndio haina mwisho na nyingine zinaukomo?

Kujifunza lugha mbalimbali ziwe za ndani au za kimataifa ni elimu pana na isiyokuwa na mwisho. Haijalishi uwe umejifunzia mitaani au kwenye madarasa rasmi ila ni elimu yenye manufaa kwa kila mmoja wetu.

Kwahiyo mtanzania yoyote kuzungumza kiganda kwa ufasaha siyo kigezo za kumletea figisufigisu za uraia vinginevyo labda kama kuna sababu za msingi.
 
Naongea Kisomali kama nimezaliwa pale Kismayo, ila Mie ni mbongo wa bush Kali la kaskazini
 
Kama sikosei Timzo ni mzaliwa wa Kagera. Hivyo ni rahisi kukikujua kiganda kwani huingiliana na kihaya.
Santino, Luganda hakuna uhusiano wowote na Kihaya, bali Kihaya kina ukaribu sana na Lunyankole. Mnyankole akiongea Lunyanlole na Mhaya akaongea Kihaya wataelewana kama vile wanazungumza lugha moja, lakini si Luganda.
 
Azam TV ipo katika nchi zote za Afrika Mashariki,na wananchi wa mataifa hayo wamepata ajiri katika kampuni ya Azam.
Hakuna sababu ya kushangaa mtu kuongea lugha iliyopo Afrika Mashariki.
 
Santino, Luganda hakuna uhusiano wowote na Kihaya, bali Kihaya kina ukaribu sana na Lunyankole. Mnyankole akiongea Lunyanlole na Mhaya akaongea Kihaya wataelewana kama vile wanazungumza lugha moja, lakini si Luganda.
Kwahiyo mkuu unataka kumanisha nini kuhusiana na Mada juu ?
 
Hizi ni dalili za kuishiwa hoja. Jamii forum inajitambulisha kama nyumga ya fikra pevu. Hii ya kuanza kujafili watu, tena watoto wa kike inatoka wapi? Mnachoma jamvi aisee.
 
Kama sikosei Timzo ni mzaliwa wa Kagera. Hivyo ni rahisi kukikujua kiganda kwani huingiliana na kihaya.
Na amewahi kuishi Uganda, anakijua kiganda na Okwi na Kiiza alikua anaongea nao sana tu

Tatizo lake ana mahaba na Uganda hili hajifichi ,mengine anajua yy si ya humu
 
Back
Top Bottom