Sasa nini application ya citizenship Kama haingalii kwenye maswala kama hayo?Wewe kunywa beer, huyo Tumzo atakusaidia nini weweee
Unatakiwa utoe na sababu kwamba huyu hakuzaliwa Tanzania,alivuka mpaka n.kIdara ya uhamiaji inapaswa kuuchunguza URAIA wa mtangazaji wa AZAM TV, TUMZO Karugira na kama ana vibali vya kufanya kazi nchini.
Huyu Karugira kafanya nini ili achunguze uraia wake mkuu?......li nchi lenyewe limeja majanga eti watu wanaona uraia wake ni issue kubwa tungekua na hali kama ya Africa kusini au EU tungekua tunatisha sanaIdara ya uhamiaji inapaswa kuuchunguza URAIA wa mtangazaji wa AZAM TV, TUMZO Karugira na kama ana vibali vya kufanya kazi nchini.
Watanzania mmeambukizwa roho mbaya sana...Idara ya uhamiaji inapaswa kuuchunguza URAIA wa mtangazaji wa AZAM TV, TUMZO Karugira na kama ana vibali vya kufanya kazi nchini.
Yaani anaongea utafikiri hakuna watanzania wanaofanya kazi nchi za nje.Mbona Baby Kabaye ni Mkenya na ni mtangazaji wa Mawingu TV?
Yawezekana ni Mganda. Hata Ssebo yupo EFM ila ni Muganda!
Kuna uzi juzi umeletwa humu kisa alifanya mahojiano kwa lugha ya kiganda na mchezaji mmoja wa Uganda kwenye mashindano ya CECAFA ya wanawake.Huyu Karugira kafanya nini ili achunguze uraia wake mkuu?......li nchi lenyewe limeja majanga eti watu wanaona uraia wake ni issue kubwa tungekua na hari kama ya Africa kusini au EU tungekua tunatisha sana