Watu hawa wanataka Watanzania tusiseme upungufu au ukweli wa mambo,na tuamini kuwa kila afanyaye hivyo siyo RAIA.Ukiongea kifaransa uchunguzwe, Ukiongea kispanyola uchunguzwe, kikurya,kidigo,kijaluo,uchunguzwe.What nonsense!
Kwani Tumzo kafanya nini hadi achunguzwe uraia ?
Kwani katiba ya nchi hairuhusu Mtazania kujua lugha nyingine ya nchi jilani au? lakini hi nchi nasafari ndefu kama CCM alifanya makusudi kupumbaza watanzania kiasi hicho basi Mungu ndoatakae walipaKuna uzi juzi umeletwa humu kisa alifanya mahojiano kwa lugha ya kiganda na mchezaji mmoja wa Uganda kwenye mashindano ya CECAFA ya wanawake.
Hari=Halihari
Nimewahi kuishi mpakani mwa Tanzania na Kenya kwa miaka mingi na kujua vyema moja ya lugha inayozungumzwa na wakenya.Kwani katiba ya nchi hairuhusu Mtazania kujua lugha nyingine ya nchi jilani au? lakini hi nchi nasafari ndefu kama CCM alifanya makusudi kupumbaza watanzania kiasi hicho basi Mungu ndoatakae walipa
Mimi nashangaa sana uelewa wa Viongozi wetu, Mbona pale Kyaka wilaya ya Missenyi na Kyela watu zaidi ya nusu wanaongea lugha ya Kiganda vizuri ni jamii ya wahaya itwayo waganda Kyaka mbona mnataka Wantazania waishi kwa wasiwasiUkiongea kifaransa uchunguzwe, Ukiongea kispanyola uchunguzwe, kikurya,kidigo,kijaluo,uchunguzwe.What nonsense!
Kuna uzi juzi umeletwa humu kisa alifanya mahojiano kwa lugha ya kiganda na mchezaji mmoja wa Uganda kwenye mashindano ya CECAFA ya wanawake.
Watanzania mmeambukizwa roho mbaya sana...
Santino, Luganda hakuna uhusiano wowote na Kihaya, bali Kihaya kina ukaribu sana na Lunyankole. Mnyankole akiongea Lunyanlole na Mhaya akaongea Kihaya wataelewana kama vile wanazungumza lugha moja, lakini si Luganda.Kama sikosei Timzo ni mzaliwa wa Kagera. Hivyo ni rahisi kukikujua kiganda kwani huingiliana na kihaya.
Kwahiyo mkuu unataka kumanisha nini kuhusiana na Mada juu ?Santino, Luganda hakuna uhusiano wowote na Kihaya, bali Kihaya kina ukaribu sana na Lunyankole. Mnyankole akiongea Lunyanlole na Mhaya akaongea Kihaya wataelewana kama vile wanazungumza lugha moja, lakini si Luganda.
Soma maelezo ya Santino niliyokuwa najibu.Kwahiyo mkuu unataka kumanisha nini kuhusiana na Mada juu ?
Na amewahi kuishi Uganda, anakijua kiganda na Okwi na Kiiza alikua anaongea nao sana tuKama sikosei Timzo ni mzaliwa wa Kagera. Hivyo ni rahisi kukikujua kiganda kwani huingiliana na kihaya.