Mkuu technically punguza chuki kwa mheshimiwa Rais, wewe ni mwanajamii wa kipekee kabisa uliyewahi kuanzisha uzi wa kuiombea nchi ya Tanzani ifikiwe na corona haraka huku ukitamani uone Rais akihangaika nao. Maombi yako yameshajibiwa so mwache mheshimiwa Rais apambane kwa namna anavyoona inafaa.
Mwanzoni nilifikiri huenda wewe siyo mwenzetu na hata sasa bado kwa kiasi naamini hivyo, na kama wewe ni mtanzania Basi ni miongoni mwa watu wenye roho mbaya sana kuwahi kutokea vinginevyo uwe na mtindio wa ubongo hapo litakuwa siyo kosa lako.
Nachoweza kukushauri, najua huenda ni wivu wa kisiasa una kusukuma kuona kila linalofanyika kwako ni baya. Urais ni position ambayo siyo ya milele. Vumilia tu ipo siku kama kweli Mungu amepanga kukuweka kwenye position flani utafika.
Pengine uliyekuwa unategemea awe Rais ili akuteue kuwa mtu flani hakupata. Si vibaya, ni mipango ya Mungu, so you have to swallow the bitter pills.
Uongozi kwenye Position za kisiasa ni kama mbio za vijiti, ni kupokezana. Ipo siku timu yako nayo itapokea kijiti japo mimi kama mtanzania wa kawaida kabisa ninayejitambua siwezi nikaombea hilo litokee. Si kwamba nakuchukia no, ni vile tu moyo wangu hauoni kama wewe na timu yako kama wana akili kama za kwako basi hamfai hata kuwa viongozi wa Kijiji.
Sent using
Jamii Forums mobile app