Koffi Yardley
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 620
- 496
Tusiombe fedha kisa tuna akiba???
AnaloliwezA huyo ni kulala kwenye mawe tu kama kenge.Za kuweza kuendesha serikali kwa miezi 6 bila kukusanya kodi hata nchi ikiwa na janga au vita
Mkuu alinukuliwa zaidi ya mala 5 akisisitiza.
Yeye yupo anachangiwa na wakina Rostam,*
Anachangiwa na wachina, anachangiwa na walahoi wa bongo, anaomba mkopo IMF wa 190+US dollar million.
Kumbe Mungu uwa achelewi kuumbua mtu muongo
Tunazidiwa na nchi kama Rwanda, Kenya, South, Misri, Ghana na nigeria wote wametoa pesa hazina kiasi kuokoa uchumi.
Je serikali haina taarifa kwamba kuna kiwango cha mitaji kimeshaanguka? Je bado hawana taarifa kuna watu washapoteza ajira? Wamefanya nini kuokoa sector ya utali Tanzania?
Je wanafanya nini kwa watu waliokuwa wamekopa uku wakiwa wanatoa ajira kibao kuweza kuwaondolea malejesho angalau kwa miezi 3 ili kulinda ajira za walalahoi?
Mkuu lengo ni kuwafanya watu waishi Kama mashetani ili tuanze kumuabudu yeye anapokuwa anatugawia msosi na ajira so hii corona ni catalyst katika kutimiza malengo yake ndo maana yupo zake likizo akizikilizia kelele zenu,ukilia tu anajua tayariZa kuweza kuendesha serikali kwa miezi 6 bila kukusanya kodi hata nchi ikiwa na janga au vita
Mkuu alinukuliwa zaidi ya mala 5 akisisitiza.
Yeye yupo anachangiwa na wakina Rostam,*
Anachangiwa na wachina, anachangiwa na walahoi wa bongo, anaomba mkopo IMF wa 190+US dollar million.
Kumbe Mungu uwa achelewi kuumbua mtu muongo
Tunazidiwa na nchi kama Rwanda, Kenya, South, Misri, Ghana na nigeria wote wametoa pesa hazina kiasi kuokoa uchumi.
Je serikali haina taarifa kwamba kuna kiwango cha mitaji kimeshaanguka? Je bado hawana taarifa kuna watu washapoteza ajira? Wamefanya nini kuokoa sector ya utali Tanzania?
Je wanafanya nini kwa watu waliokuwa wamekopa uku wakiwa wanatoa ajira kibao kuweza kuwaondolea malejesho angalau kwa miezi 3 ili kulinda ajira za walalahoi?
WB na IMF wamemnyima kwa sababu wanataka mtu awe na mpango wa kusaidia walalahoi na kuinua uchumi.Za kuweza kuendesha serikali kwa miezi 6 bila kukusanya kodi hata nchi ikiwa na janga au vita
Mkuu alinukuliwa zaidi ya mala 5 akisisitiza.
Yeye yupo anachangiwa na wakina Rostam,*
Anachangiwa na wachina, anachangiwa na walahoi wa bongo, anaomba mkopo IMF wa 190+US dollar million.
Kumbe Mungu uwa achelewi kuumbua mtu muongo
Tunazidiwa na nchi kama Rwanda, Kenya, South, Misri, Ghana na nigeria wote wametoa pesa hazina kiasi kuokoa uchumi.
Je serikali haina taarifa kwamba kuna kiwango cha mitaji kimeshaanguka? Je bado hawana taarifa kuna watu washapoteza ajira? Wamefanya nini kuokoa sector ya utali Tanzania?
Je wanafanya nini kwa watu waliokuwa wamekopa uku wakiwa wanatoa ajira kibao kuweza kuwaondolea malejesho angalau kwa miezi 3 ili kulinda ajira za walalahoi?
Una njia ya kupata fedha,why ufumue akiba yako na ukizingatia hali ya uchumi kipindi hiki?
Makosa ya Kikwete ya mwaka 2015 yayaendelea kutugharimu milele. WALIKOSEA sana kumuachia nchi huyu mtu mwenye hasira, kisasi, chuki na MWONGO.Za kuweza kuendesha serikali kwa miezi 6 bila kukusanya kodi hata nchi ikiwa na janga au vita
Mkuu alinukuliwa zaidi ya mala 5 akisisitiza.
Yeye yupo anachangiwa na wakina Rostam,*
Anachangiwa na wachina, anachangiwa na walahoi wa bongo, anaomba mkopo IMF wa 190+US dollar million.
Kumbe Mungu uwa achelewi kuumbua mtu muongo
Tunazidiwa na nchi kama Rwanda, Kenya, South, Misri, Ghana na nigeria wote wametoa pesa hazina kiasi kuokoa uchumi.
Je serikali haina taarifa kwamba kuna kiwango cha mitaji kimeshaanguka? Je bado hawana taarifa kuna watu washapoteza ajira? Wamefanya nini kuokoa sector ya utali Tanzania?
Je wanafanya nini kwa watu waliokuwa wamekopa uku wakiwa wanatoa ajira kibao kuweza kuwaondolea malejesho angalau kwa miezi 3 ili kulinda ajira za walalahoi?
Kweli aisee. Kuna post nyingine ukisoma aibu unaona wewe msomaji. Hiyo akiba kwetu huwekwa katika dollars na huwa na lengo la kuukimu uchumi kuagiza bidhaa nje ambazo ni lazima kulipa kwa pesa hizo za kigeni.Kwa hiki kilichoandikwa aibu nimeona mimi. Unaidhalilisha akili yako kamanda.
Je, Corona imefikia kuwa janga linalohitaji akiba nzima itumike?
Ndugu Daddo. Inasikitisha kuona mtu anapaswa kuandika aya zote hizi zenye busara tele kwa kuwa tu kuna hayawani anayeliombea taifa lake kupatwa na matatizo.Mkuu technically punguza chuki kwa mheshimiwa Rais, wewe ni mwanajamii wa kipekee kabisa uliyewahi kuanzisha uzi wa kuiombea nchi ya Tanzani ifikiwe na corona haraka huku ukitamani uone Rais akihangaika nao. Maombi yako yameshajibiwa so mwache mheshimiwa Rais apambane kwa namna anavyoona inafaa.
Mwanzoni nilifikiri huenda wewe siyo mwenzetu na hata sasa bado kwa kiasi naamini hivyo, na kama wewe ni mtanzania Basi ni miongoni mwa watu wenye roho mbaya sana kuwahi kutokea vinginevyo uwe na mtindio wa ubongo hapo litakuwa siyo kosa lako.
Nachoweza kukushauri, najua huenda ni wivu wa kisiasa una kusukuma kuona kila linalofanyika kwako ni baya. Urais ni position ambayo siyo ya milele. Vumilia tu ipo siku kama kweli Mungu amepanga kukuweka kwenye position flani utafika.
Pengine uliyekuwa unategemea awe Rais ili akuteue kuwa mtu flani hakupata. Si vibaya, ni mipango ya Mungu, so you have to swallow the bitter pills.
Uongozi kwenye Position za kisiasa ni kama mbio za vijiti, ni kupokezana. Ipo siku timu yako nayo itapokea kijiti japo mimi kama mtanzania wa kawaida kabisa ninayejitambua siwezi nikaombea hilo litokee. Si kwamba nakuchukia no, ni vile tu moyo wangu hauoni kama wewe na timu yako kama wana akili kama za kwako basi hamfai hata kuwa viongozi wa Kijiji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Wivu kama huu naamini hata roho mchafu anayechochea watu kama nyinyi kujawa na chuki hataafiki mwendawazimu yeyote kumfananisha raisi na kenge.AnaloliwezA huyo ni kulala kwenye mawe tu kama kenge.
Kweli aisee. Kuna post nyingine ukisoma aibu unaona wewe msomaji. Hiyo akiba kwetu huwekwa katika dollars na huwa na lengo la kuukimu uchumi kuagiza bidhaa nje ambazo ni lazima kulipa kwa pesa hizo za kigeni.
Hivyo hao ndugu watoa maoni kuwa hazina itumike wakati huu ambapo hatujui hata mwelekeo halisi wa tatizo hili, ndio wale ambao huendaga shule kusomea ujinga.
Wanaposikia Marekani inatoa $tr. 2 kuutibu uchumi wao wanadhani na sisi pia tuna uwezo huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo mpango so far...hata idadi ya sample zinazopimwa zinapanda,though hatujawekwa wazi....Japo na maombi si ya kubezwa piaUna njia ya kupata fedha kisha kipimo cha corona kiwe kimoja tu nchi nzima? Kungekuwa na njia nyingine ya kupata fedha maagizo isingekuwa kutaka watu wasali siku tatu, bali ingetolewa hela Kiasi fulani na kununua vipimo wangalau kwa ratio ya kila mikoa mitatu kipimo kimoja.
DuhKukopa sio necessary condition ya kuishiwa. Sufficient condition ni balance ya ukopaji na urudishwaji wa mkopo, na hapo panahitaji collateral. Hukopesheki utakopa wapi weye?
Simpo!
Sawa hujijui kama id yako inavyokutambulisha. Ila kimsingi raisi alisema atahakikisha mafisadi na wanyonyaji wengine ambao huishi kama malaika kwa jasho la walalahoi anawashughulikia mpaka waishi kama mashetani.Mkuu lengo ni kuwafanya watu waishi Kama mashetani ili tuanze kumuabudu yeye anapokuwa anatugawia msosi na ajira so hii corona ni catalyst katika kutimiza malengo yake ndo maana yupo zake likizo akizikilizia kelele zenu,ukilia tu anajua tayari
Point.Mkuu technically punguza chuki kwa mheshimiwa Rais, wewe ni mwanajamii wa kipekee kabisa uliyewahi kuanzisha uzi wa kuiombea nchi ya Tanzani ifikiwe na corona haraka huku ukitamani uone Rais akihangaika nao. Maombi yako yameshajibiwa so mwache mheshimiwa Rais apambane kwa namna anavyoona inafaa.
Mwanzoni nilifikiri huenda wewe siyo mwenzetu na hata sasa bado kwa kiasi naamini hivyo, na kama wewe ni mtanzania Basi ni miongoni mwa watu wenye roho mbaya sana kuwahi kutokea vinginevyo uwe na mtindio wa ubongo hapo litakuwa siyo kosa lako.
Nachoweza kukushauri, najua huenda ni wivu wa kisiasa una kusukuma kuona kila linalofanyika kwako ni baya. Urais ni position ambayo siyo ya milele. Vumilia tu ipo siku kama kweli Mungu amepanga kukuweka kwenye position flani utafika.
Pengine uliyekuwa unategemea awe Rais ili akuteue kuwa mtu flani hakupata. Si vibaya, ni mipango ya Mungu, so you have to swallow the bitter pills.
Uongozi kwenye Position za kisiasa ni kama mbio za vijiti, ni kupokezana. Ipo siku timu yako nayo itapokea kijiti japo mimi kama mtanzania wa kawaida kabisa ninayejitambua siwezi nikaombea hilo litokee. Si kwamba nakuchukia no, ni vile tu moyo wangu hauoni kama wewe na timu yako kama wana akili kama za kwako basi hamfai hata kuwa viongozi wa Kijiji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa mada na hata ulicho andika hukielewi umekurupukaSasa mkuu unataka hizo fedha zitumike halafu baada ya hapo??
Tatizo lako ni kuwa hata nikukuuliza umeandika nini hutaweza kunifafanulia.Hujaelewa mada na hata ulicho andika hukielewi umekurupuka
Soma tena wewe ulicho andika kama utakielewa
Sent using Jamii Forums mobile app