Watu ni kweli wanatumia avatar kuficha ID. Lakini wanafanya hivyo wakiwa wanajitambua meaning they made choice. Kwa hiyo watu wa saikolojia wanaweza kujua tabia yako tokana na picha uliyochagua. Nina hakika kila mtu ana sababu iliyomfanya achague avatar alonayo. Na haina maana kuwa unatabia mbaya au nzuri kwa sababu ya uchaguzi wako, but you must have a story behind your choice and that relates to your personality traits.
Mtoa mada mbona hujiamini hivyo? Hebu tetea hoja yako bana acha mambo ya kutuvuruga akili.. mara sijui unatania.. mara sijui nini.. kama ni utani una jukwaa lake au sio..
sasa hapa inapotokea watu wakachukulia serious ndo anaanza kujiamini hali toka mwanzo mada ilikua imesimama. sad.
MmhhBibie ningependa kukwambiaHumu ndani ni kosa kum judge mtu kwa Avatar .. kwanza naomba ni kwambie kunaWana account zaidi ya moja za kike na za kiume kuna kadhaa ambao nawajua ni wanaume Avatar za kike na majina ya kike .. Kwa hiyo ni rahisi sana mtu kujiprotend kuwaMtu asiye. Mfano.. mtu aweza onyesha hasira' upole, ku Onyesha busara au la, ... ni internet tu..Si kitu kinacho wanyima chakula ..sio kabisa ajabu kua unaaga mana avata yako inanipa picha ni mpole na hupendi sengenya but uzuri wa hapa ni kua hatusemi kwa nia mbayaila kwa kuelimishana ndio mana hatujatumia pm.
MmhhBibie ningependa kukwambiaHumu ndani ni kosa kum judge mtu kwa Avatar .. kwanza naomba ni kwambie kunaWana account zaidi ya moja za kike na za kiume kuna kadhaa ambao nawajua ni wanaume Avatar za kike na majina ya kike .. Kwa hiyo ni rahisi sana mtu kujiprotend kuwaMtu asiye. Mfano.. mtu aweza onyesha hasira' upole, ku Onyesha busara au la, ... ni internet tu..Si kitu kinacho wanyima chakula ..
Mnajua nini Mayasa na Romance... Sio kwaba najaribu kuidisqualify hii thread, bali ni namna ya kuproove kuwa watu wanaamini katika falsafa ya 'what you see, what you get'...
Nitake radhi plz, mimi siyo zezeta! Naona unajitafutia ban
MmhhBibie ningependa kukwambiaHumu ndani ni kosa kum judge mtu kwa Avatar .. kwanza naomba ni kwambie kunaWana account zaidi ya moja za kike na za kiume kuna kadhaa ambao nawajua ni wanaume Avatar za kike na majina ya kike .. Kwa hiyo ni rahisi sana mtu kujiprotend kuwaMtu asiye. Mfano.. mtu aweza onyesha hasira' upole, ku Onyesha busara au la, ... ni internet tu..Si kitu kinacho wanyima chakula ..
Hahhhaha...mmmh inawezekana!Asante!Hehehehe..Tuko sio mpiganaji....anaachia alichotosa baharini haraka sana!naweza kua nilikua burn lakini ni mfuatiliaji mzuri na michango yako mara nyingi imesimama hivyo pale wewe ukisema tu crap mwenye uzi anaishiwa \nguvu kabisa hata kama uzi wa mana mfano mzuri tuko kaanza kuomba msamaha kwamba alikua anatania sijui mmu imekua jukwa la jokes lini,
Hahhhaha...mmmh inawezekana!Asante!Hehehehe..€Tuko sio mpiganaji....anaachia alichotosa baharini haraka sana!
Ha ha haaa. Ila we c umeona avatar ya Lizzy ilivyokaa siriaz? nisiogope kweli?. Sema ya kwako wewe hata siiogopi... lol
Mnajua nini Mayasa na Romance... Sio kwaba najaribu kuidisqualify hii thread, bali ni namna ya kuproove kuwa watu wanaamini katika falsafa ya 'what you see, what you get'...
Hii inakuwa mbaya pale mtu anaposema ...sisi wanaume.... kumbe yeye ni mwanamke, au vice versa...
Unajua kwa avatar niliyovaa leo, nikijibizana na mtu tayari naonekana kama nagomba...