Romance
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 585
- 159
Watu ni kweli wanatumia avatar kuficha ID. Lakini wanafanya hivyo wakiwa wanajitambua meaning they made choice. Kwa hiyo watu wa saikolojia wanaweza kujua tabia yako tokana na picha uliyochagua. Nina hakika kila mtu ana sababu iliyomfanya achague avatar alonayo. Na haina maana kuwa unatabia mbaya au nzuri kwa sababu ya uchaguzi wako, but you must have a story behind your choice and that relates to your personality traits.
kwa mchango wa ukweli kama huu watu sasa watajua mtoa mada hakukurupuka.