Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Chanzo Cha Matatizo CCMKama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
π€£Chanzo Cha Matatizo CCM
Hatar Sana mpaka tusemeKama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Huu ndio ukweli na inabidi usemwe tu.Hatar Sana mpaka tuseme
Na Wala haitokusaidia.....waafrika sisi hatuwezekaniki mkuuHuu ndio ukweli na inabidi usemwe tu.
Ni vzr tuwe open tu.. CDM, ACT, NCCR MAGEUZI, UDP, wala chama cha ma old azz nigga RUNGWE havijawah tawala, So tuwe wawazi CCM ndio main probes!!Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Tushashindikana. Labda dna ya waafrika ina genes za akili ndogo sana. Tunazaliana na kurithishana genes za akili ndogo sana π€£Na Wala haitokusaidia.....waafrika sisi hatuwezekaniki mkuu
Upo sahihi.Ni vzr tuwe open tu.. CDM, ACT, NCCR MAGEUZI, UDP, wala chama cha ma old azz nigga RUNGWE havijawah tawala, So tuwe wawazi CCM ndio main probes!!
Napingana naww kweny hili ππ ipo waz mshind wa urais hatangazw kulingana na kura alizopata!!Maana yake hata sisi tuna akili ndogo sana
Upo sahihi.
Lakini kwa upande mwingine kwa nini mpaka leo tumeshindwa kuwatoa ccm madarakani. Maana yake hata sisi tuna akili ndogo sana, hasahasa vyombo vya dola (polisi, jeshi, usalama). Kama vyombo vya dola vingekuwa na watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, basi wasingekubali kutumika kuiba kura na kuchakachua uchaguzi.
Nawaza nje ya box
Ok Mkuu, hapo maana yake lawama ziende kwa vyombo vya ulinzi na usalama (polisi,jeshi, usalama) maana ndio wanatumika kuchakachua uchaguziNapingana naww kweny hili ππ ipo waz mshind wa urais hatangazw kulingana na kura alizopata!!
Na tumeOk Mkuu, hapo maana yake lawama ziende kwa vyombo vya ulinzi na usalama (polisi,jeshi, usalama) maana ndio wanatumika kuchakachua uchaguzi
Kumaanisha kwamba kwenye jamii yetu(waafrika) tuna uwezo mdogo wa kufikiri, labda ipo kwenye dna.Watumishi wa serikali na viongozi wanatoka kwenye jamii hizi hizi za kwetu. Kama low thinking ni tatizo basi linaanzia ngazi ya familia kabisa.
Hizo tabia wanazo onyesha huko wanatoka nazo kwenye jamii zao
Maana yakeNa tume
Noma sanaDuh aiseee