Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Mtu ata bachelor hana, unadhani thinking capacity yake iko vipi..?😂
 
Ni vzr tuwe open tu.. CDM, ACT, NCCR MAGEUZI, UDP, wala chama cha ma old azz nigga RUNGWE havijawah tawala, So tuwe wawazi CCM ndio main probes!!
ccm wakisha iba kura wanakwambia hakuna chama chenye uwezo wakutawala zaidi yao,hiki chama tunawezo kiondoa kwanguvu ila sio kwenye ballots, hawa jamaa ni wezi mno wanambinu nyingi chafu sana pia wanaogopa kukamatwa na kustakiwa na malizao kupigwa mnada wakiondolewa.
 
Ccm ikianzia TANU kilikuwa chama kizuri sana kupitia;
Imani yake
Madhumuni yake
Masharti na itikadi yake.
Japo sikukubali ujamaa kwa msingi wa kuishi pamoja, kufanya kazi pamoja na kugawana mapato kwa usawa.
Ccm ilikiuka misingi yake huku iki ihubiri, ikajenga kikundi cha walanchi dhidi ya wananchi
Walanchi hujuana, hulindana, hupeana mapande na wana wivu mkubwa sana kulinda kundi lao.
Wananchi hupumbazwa tu waone wanatetewa kumbe wanang"atwa huku wakipulizwa...
Ukombozi halisi ni kujenga demokrasia ya kweli kupitia katiba rafiki kwa demokrasia makini.
Katiba bora itasaidia kujenge vyama huru na imara na itaweka utaratibu bora wa kujitawala. Short of that ccm watatupumbuza na mapambio feki tu
 
Uwezo mdogo wa kufikiri ndio uliingia ndani ya hicho chama na ndio chanzo cha matatizo yote
 
ccm wakisha iba kura wanakwambia hakuna chama chenye uwezo wakutawala zaidi yao,hiki chama tunawezo kiondoa kwanguvu ila sio kwenye ballots, hawa jamaa ni wezi mno wanambinu nyingi chafu sana pia wanaogopa kukamatwa na kustakiwa na malizao kupigwa mnada wakiondolewa.
😂
Mbinu yao ni kutumia tume ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi (polisi, jeshi, usalama) ili kuiba kura. Na hayo makundi mawili ya watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri 🤣🤣🤣
 
Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Unazungumzia wapi jomba specifically..au unataka kutuambia nchi nzima..itakuwa matusi hayo..your assumptions are wrong..issue si low-level issue ni ubinafsi tu jomba kwa baadhi ya watu...kukosa uzalendo..finish..watu wamekwenda kitabu na knowledgeable sana..including technology..hata kuzidi hao mnaowategemea
 
Unazungumzia wapi jomba specifically..au unataka kutuambia nchi nzima..itakuwa matusi hayo..your assumptions are wrong..issue si low-level issue ni ubinafsi tu jomba kwa baadhi ya watu...kukosa uzalendo..finish
Tofautisha kati ya ubinafsi na uwezo mdogo wa kufikiri. Hasa kuanzia kwa viongozi wa serikali
 
Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
CCM Wengi ni failures au wenye gentlemen passes
 
Upo sahihi.
Lakini kwa upande mwingine kwa nini mpaka leo tumeshindwa kuwatoa ccm madarakani. Maana yake hata sisi tuna akili ndogo sana, hasahasa vyombo vya dola (polisi, jeshi, usalama). Kama vyombo vya dola vingekuwa na watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri, basi wasingekubali kutumika kuiba kura na kuchakachua uchaguzi.

Nawaza nje ya box
Jomba unaumwa nini..uitoe ccm uweke nani..embu tufafanulie..usidhan watanzania wajinga kubaki njia kuu..Wana akili sana labda umebaki pekeyako
 
🤣
Chawa ushalamba zako asali kwa raha zako. Nasikia mnalipwa laki mbili kwa siku. Ukifanya uchawa siku mia, si umepata hela sana 🤣🤣🤣 haupigi hela hapo?
 
Back
Top Bottom