Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

Tofautisha kati ya ubinafsi na uwezo mdogo wa kufikiri. Hasa kuanzia kwa viongozi wa serikali
Hii nakataa...uwezo tunao mkubwa na wapo viongozi wazuri sana..sema Ile culture yetu ya kizalendo hatujai tune vizuri..ul
CCM Wengi ni failures au wenye gentlemen passes
Sio kweli..nadhan ndio wenye hazina kubwa na wasomi na viongozi..we li giant party hili utalinganisha na nani jomba...embu leta takwimu kama unazo...hahaha
 
Hilo nalo ni sehemu mojawapo lakini matatizo yako mengi sana, na si tu mfumo wa upatikanaji, bali mfumo wa uwahibishwaji kiongozi haupo
Huo mfumo ni mbovu sana. Kwa umetengenzwa kibovu na unasimamiwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Ndio maana tunapata viongozi wabovu
 
Vetting ilikuwa na nguvu mpaka kipindi cha mkapa. After that ni maagizo regardless sheria zinasemaje. Tunapata incompetent candidates maana at the top kuna incompentent bosses
Kiufupi incompetent people huwa wanajuana na wanapendana sana.
 
Sasa kwa nini vipanga wanafanya madudu?
Ndio nilisema ubinafsi na kukosa uzalendo tu..kwa baadhi yao..na huu mfumo tulionao tunahitaji ku tune kuunyoosha ili mindset zibadilike..kwanini JPM na Mama SSH waliweza kuanzisha na kufanya mageuzi makubwa vile na matokeo tukkaanza kuyaona
 
Matokeo gani? Kugawa bandari kwa DPW?
 
Hakuna hii kitu...jomba..fikra zako tu...incompetency inategemeana na mfumo tu..ukicheza na mfumo unavyotaka weww watu wata respond likewise..human beings are flexible in nature
🤣
Kama watu wanacheza na mfumo. Basi maana yake mfumo ni mbovu sana.
 
Matokeo gani? Kugawa bandari kwa DPW?
Kuanzia awamu ya tano jomba....ya DPW yaache kwanza ambayo nadhan hayana shida vile, maana uwekezaji tunataka sana shida Ni kurekebisha Mambo machache ya maslahi kulingana na wenzetu wanavyoshauri....hata Chongolo alitamka..
 
ACHA kuwaamini hao matapeli 🤣🤣.
 
🤣
Kama watu wanacheza na mfumo. Basi maana yake mfumo ni mbovu sana.
Kuna theories nyingi na philosophy mbalimbali za uongozi ambazo zinaweza kuwa zinabadilishwabadilishwa kupendana na wakati husika.
 
ACHA kuwaamini hao matapeli 🤣🤣.
Hahaha usikimbilie huko jomba....nikikuuliza tatizo lililopo Sasa unaweza usilijue kwa sababu hujasoma Mkataba...Cha msingi uwekezaji ni mzuri una manufaa, sema Sasa inabidi kuondoa wasiwasi kwa majority ili Imani iwepo na kazi ipigwe
 
Napingana naww kweny hili [emoji115][emoji115] ipo waz mshind wa urais hatangazw kulingana na kura alizopata!!
Kwanin upingane na yeye?,hio ipo wazi viongozi wa ngazi za juu kwenye majeshi yetu kutokusimamia ukweli
 
Hiyo katiba si inatengenezwa na watu. Basi inamaanisha mfumo umetengenezwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri [emoji1787]
Hapa sikubaliani na wewe sababu waliotengeneza katiba walikua sahihi ila kizazi kinachosimamia hio katiba ni ovyo
 
Back
Top Bottom