Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Dunia haiwezi kuisha sisi Binadamu ndiyo tunakwisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Dunia haiwezi kuisha sisi Binadamu ndiyo tunakwisha.
Tatizo hatuna vetting zaidi ya kuwekana makada na chawaKama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Nakubaliana na wewe, watu wa aina hiyo ndio viongozi wetu wakuu, kuanzia ikulu hadi huku chiniKama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Duh! Kwa hiyo hao watu wa vetting ndio 0 kabisaTatizo hatuna vetting zaidi ya kuwekana makada na chawa
Tatizo ni mfumo wa upatikanaji viongozi, wateule wote wanawajibika kwa Rais kumfurahisha badala ya wananchiWatumishi wa serikali na viongozi wanatoka kwenye jamii hizi hizi za kwetu. Kama low thinking ni tatizo basi linaanzia ngazi ya familia kabisa.
Hizo tabia wanazo onyesha huko wanatoka nazo kwenye jamii zao
Hakuna vetting zaidi ya memoDuh! Kwa hiyo hao watu qa vetting ndio 0 kabisa
Na wamejaa kila sehemu, serikalini mpaka kwenye mashirika mpaka kwenye jamii yetuNakubaliana na wewe, watu wa aina hiyo ndio viongozi wetu wakuu, kuanzia ikulu hadi huku chini
Basi watu wa vetting wana uwezo mdogo wa kufikiri 🤣Hakuna vetting zaidi ya memo
Hiyo katiba si inatengenezwa na watu. Basi inamaanisha mfumo umetengenezwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri 🤣Tuna katiba mbovu haswa tunaishi kwa hisani ya Rais badala ya sheria na katiba
Wanapewa maagizo, ilitakiwa kazi zitangazwe watu wapige public interview, mtu anaeleza sera zake atakavyosaidia shirika/taasisi mission na vision, kuna watanzania wengi sn wana uwezo wa kuongoza lakini hawawezi kupata hizo nafasi sababu ni za shukrani kwa makada na chawaBasi watu wa vetting wana uwezo mdogo wa kufikiri 🤣
Teacher naye alikuwa dikteta haswa mamlaka yote alihoziHiyo katiba si inatengenezwa na watu. Basi inamaanisha mfumo umetengenezwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri 🤣
Basi walioutengeneza mfumo huo na wenyewe wana uwezo mdogo wa kufikiri.Wanapewa maagizo, ilitakiwa kazi zitangazwe watu wapige public interview, mtu anaeleza sera zake atakavyosaidia shirika/taasisi mission na vision, kuna watanzania wengi sn wana uwezo wa kuongoza lakini hawawezi kupata hizo nafasi sababu ni za shukrani kwa makada na chawa
Nyerere alikuwa na udikteta wa chini kwa chini nahisi ndio maana alitengeza mfumo mbovu sana. Na ndio maana kuna wanajeshi walijaribu kumpindua.Teacher naye alikuwa dikteta haswa mamlaka yote alihozi
Alikuwa muoga snNyerere alikuwa na udikteta wa chini kwa chini nahisi ndio maana alitengeza mfumo mbovu sana. Na ndio maana kuna wanajeshi walijaribu kumpindua.
Alikuwa anajiita mzalendo kwelikweli kumbe uoga tu. Na ndio mwasisi wa shida zote 😂😂Alikuwa muoga sn
binadamu hakosi mapungufuAlikuwa anajiita mzalendo kwelikweli kumbe uoga tu. Na ndio mwasisi wa shida zote 😂😂
Mapungufu yake pamoja na chama chake ndio inatugharimu mpaka leo. Na alikuwa na kundi kubwa la watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama viongozi ambao walichomeka watu wao na watoto wao kwenye uongozi wa nchi na mashirika, huku hao watu/watoto wakiwa na uwezo mdogo wa kufikiri.binadamu hakosi mapungufu