Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

ccm wakisha iba kura wanakwambia hakuna chama chenye uwezo wakutawala zaidi yao,hiki chama tunawezo kiondoa kwanguvu ila sio kwenye ballots, hawa jamaa ni wezi mno wanambinu nyingi chafu sana pia wanaogopa kukamatwa na kustakiwa na malizao kupigwa mnada wakiondolewa.
Viwanja karibu vyote vya mpira ccm imejimilikisha na ndio huko viongozi wa ngazi mbali mbali wanatajirikia
 
Ikiwa ni kweli, basi tuangalie upya mfumo wetu wa elimu na walimu.
Ikiwa si kweli basi tatizo ni lishe duni.
 
Unazungumzia wapi jomba specifically..au unataka kutuambia nchi nzima..itakuwa matusi hayo..your assumptions are wrong..issue si low-level issue ni ubinafsi tu jomba kwa baadhi ya watu...kukosa uzalendo..finish..watu wamekwenda kitabu na knowledgeable sana..including technology..hata kuzidi hao mnaowategemea
Mkuu najua na wewe upo nje ya mzinga unaongea haya maneno huku ukupigania nafasi ya kuingia ndani ya mzinga,ukifanikiwa tuu naamini haya maneno utayakana[emoji1787]
 
Huo mfumo ni mbovu sana. Kwa umetengenzwa kibovu na unasimamiwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Ndio maana tunapata viongozi wabovu
Leo nimekaa mahali na mshikaji wangu nikamwambia fulani ana bahati kupata kazi TANAPA ukizingatia anatoka familia duni,jamaa akanijibu fulani ndio alimbeba,huyo fulani sasa ni libosi lipo ndani ya mfumo
 
Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Leo Rais Samia kawasimamisha Wenyeviti wa Bodi,haloo ni Wazee watupu,sasa sijui lengo ni lipi hasa na anawasisitiza eti walete mabadiliko kwenye Mashirika ya Umma,kweli!
Rais Ruto huwa naona kwenye social media Wenyeviti wa Bodi ni vijana na CV nzito.
Kweli serikalini kuna watu wenye upeo mdogo sana!
 
Ndio nilisema ubinafsi na kukosa uzalendo tu..kwa baadhi yao..na huu mfumo tulionao tunahitaji ku tune kuunyoosha ili mindset zibadilike..kwanini JPM na Mama SSH waliweza kuanzisha na kufanya mageuzi makubwa vile na matokeo tukkaanza kuyaona
Wewe ni mmojawapo unazungumziwa kwenye huu uzi,una uwezo mdogo wa kudadavua mambo
 
Hivi mtu kama yule Sufiani afanikiwe kuingia ndani ya mfumo unategemea nin?,na ataingia tuu ni suala la muda
 
Basi watu wa vetting wana uwezo mdogo wa kufikiri [emoji1787]
Huko kwenye vetting ukute Mkuchika ndiyo Kiongozi!,uko ni kuangalia ukada kwa kwenda mbele.
Mkuu ukiingia kule LinkedIn social network,kuna Watanzania wana CV nzito na wamepiga shule Vyuo vya maana Duniani lakini eti Nape likes ndiyo Mawaziri!
God have mercy upon us![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo Rais Samia kawasimamisha Wenyeviti wa Bodi,haloo ni Wazee watupu,sasa sijui lengo ni lipi hasa na anawasisitiza eti walete mabadiliko kwenye Mashirika ya Umma,kweli!
Rais Ruto huwa naona kwenye social media Wenyeviti wa Bodi ni vijana na CV nzito.
Kweli serikalini kuna watu wenye upeo mdogo sana!
Hao ndio wapo ndani ya mfumo,wakiingia hapo ni kuchomeka watoto/ndugu zao kwenye manafasi nyeti nyeti kabla hawajafa
 
Huwezi kuwa na jamii ya hovyo halafu ukazalisha viongozi wazuri. Hao wazuri watashusha toka mbinguni? Unamuoona mtu kama Tulia, Ndugai unasikitika wamewezaje kuwa maspika
 
Wanapewa maagizo, ilitakiwa kazi zitangazwe watu wapige public interview, mtu anaeleza sera zake atakavyosaidia shirika/taasisi mission na vision, kuna watanzania wengi sn wana uwezo wa kuongoza lakini hawawezi kupata hizo nafasi sababu ni za shukrani kwa makada na chawa
Interview watakuja kweli makada na Masters zao kufanyiwa mitihani na kuandikiwa Dissertation![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Akilindogo sana ameandika kuhusiana na ndugu zake wenye akili ndogo sana. Hii ni thread ya ukoo😂😂
 
Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
@Akilindogosana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom