Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

Tofautisha kati ya elimu na uwezo wa kufikiri. Kuna watu wana PhD ila mawazo yao na fikra ni madudu 🤣
 
"We live in a time when intelligent people are being silenced so that stupid people won’t be offended.”🤐🤐🤐
 
bora umejua siri Yesu anakaribia kuja tena jiandae. uliyoeleza ndio mtaji wa ccm kukaa madarakani taifa la ovyo sana
 
nadhani wewe ndo mwenyekiti wao
 
Na hili ndilo kundi linalowasaidia matajiri kuendelea kutajirika maradufu
 
Mifumo ya kupata viongozi inambana MTU mwenye uwezo mkubwa kiakili
 
Mifumo ya kupata viongozi inambana MTU mwenye uwezo mkubwa kiakili
🤣
Hii mifumo na yenyewe ni ya hovyo, na ipo kinyume 🤣🤣🤣, sasa badala ya kuleta viongozi wenye uwezo mkubwa wa kufikiri inatukusanyia viongozi wenye uwezo mdogo wa kufikiri halafu ndio wanafanya madudu kwa raha zao, bila wasiwasi 🤣
 
Karibia 70% ya watu kama taifa wana uwezo mdogo sana wa kupambanua mambo na ndo kundi linalotumika sana kuifanya nchi idumae

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Karibia 70% ya watu kama taifa wana uwezo mdogo sana wa kupambanua mambo na ndo kundi linalotumika sana kuifanya nchi idumae

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Utakuta mgombea ubunge anapigiwa kampeni na chama yeye mwenyewe hana Sera yeyote. Hata huko kwenye kampenu wanajaa wanamuziki na waswahili wakisikia dundo umewamaliza
 
Nadhani ni tatizo la malezi utotoni, watoto wengi hawana uhuru wa kuchallenge lolote katka femilia (Wajeuri). Pia maofisini viongozi wabaya awapendi watendaji so called Wajuaji.
Istoshe viongozi wa Dili wanaweka hao wepes ili wanakua watiifu kwa Kila agizo ama ombi la mkuu.
So wanaenjoy sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…