Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
- Thread starter
- #161
Kama mtu anafanya jambo la hovyo lisilo na maana, je unaona ni sahihi?Yaani mtu akitofautiana na wewe jinsi ya kufikiri , kuamua, kutenda nk ndo unaiita akili ndogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mtu anafanya jambo la hovyo lisilo na maana, je unaona ni sahihi?Yaani mtu akitofautiana na wewe jinsi ya kufikiri , kuamua, kutenda nk ndo unaiita akili ndogo?
Tofautisha kati ya elimu na uwezo wa kufikiri. Kuna watu wana PhD ila mawazo yao na fikra ni madudu 🤣Elimu,elimu ndo sbb kuu,aina ya elimu inayotolea,kiasi gani wanafunzi wanafaulu au pengine kufaulishwa ili kuifurahisha serikali na pia viongoz vichaa walioona kiswahili ndo kitumike kufundishia watt wetu wa nursery na primary huku wa kwao wakiwa ktk shule za english medium ndo sbb ya kuzalisha vilaza wengi,elimu yetu inahitaji mabadiliko makubwa ili kuzalisha wasomi wanaojielewa,hili haliwez kutokea kwa viongozi hawa tulionao
"We live in a time when intelligent people are being silenced so that stupid people won’t be offended.”🤐🤐🤐Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
bora umejua siri Yesu anakaribia kuja tena jiandae. uliyoeleza ndio mtaji wa ccm kukaa madarakani taifa la ovyo sanaKama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
nadhani wewe ndo mwenyekiti waoKama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Duh!"We live in a time when intelligent people are being silenced so that stupid people won’t be offended.”🤐🤐🤐
🤣nadhani wewe ndo mwenyekiti wao
🤣Jamii inayoamini uchawi na manabii aina ya Mwamposa unategemea nini?
Duh! Noma sanabora umejua siri Yesu anakaribia kuja tena jiandae. uliyoeleza ndio mtaji wa ccm kukaa madarakani taifa la ovyo sana
Hadi umeweka dp, hatari sana
Tupo thilihas🤣Hadi umeweka dp, hatari sana
😐🤝Na hili ndilo kundi linalowasaidia matajiri kuendelea kutajirika maradufu
Mifumo ya kupata viongozi inambana MTU mwenye uwezo mkubwa kiakiliKama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
🤣Mifumo ya kupata viongozi inambana MTU mwenye uwezo mkubwa kiakili
Utakuta mgombea ubunge anapigiwa kampeni na chama yeye mwenyewe hana Sera yeyote. Hata huko kwenye kampenu wanajaa wanamuziki na waswahili wakisikia dundo umewamalizaKaribia 70% ya watu kama taifa wana uwezo mdogo sana wa kupambanua mambo na ndo kundi linalotumika sana kuifanya nchi idumae
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app