Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana

Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Chanzo nini CCM ili wachache waendelee kutawala
 
Kwa hiyo haya ma GMO yanaathiri ubongo? Huko USA, Ulaya, Asia ambako kuna maendeleo makubwa, hawali GMO? Mbona wana maendeleo?
Wanamaendeleo makubwa lakini hawana utu ule wa ndani wa asili ishakufa.
Thus wanakiuka kanuni za asili mfano kufunga ndoa na wanyama,kubadili jinsia,hawana upendo wa mtu na mtu wapo kama robots
 
Kuna na Kundi lingine limaamua Kwa makusudi KUWA na Uwezo mdogo wakufikiri mfano Washabiki wa mpira na Muziki wa bongo flava, wanachama na WAFUASI wa Ccm , WAUMINI wa Kilokole
Hatari!
 
Inawezekana chakula kinaathiri mno ubongo
Kisicho Cha asili kinaondoa ule utukufu wa Mungu ndani ya mtu.
Makusudi ni kuzalisha generation ambayo ni sawa na robot.
Kuua ile nguvu ya Imani ya ndani aliyo nayo mtu
 
Ulaya watu wachache wenye IQ kubwa wameweza kubadilisha maisha na hata wenye IQ ndogo wamewefaidika.
Hivyo basi nini kinawazuia wenye IQ kubwa kuvsdili mambo ?
Mfano Dangote amebadiri mambo na wenye IQ ndogo wabanufaika kwa uwezo wa Dangote.Hapa kwetu marehemu Mengi.
Wenye IQ kubwa wawajibike kwa wenye IQ ndogo.
Normal distribution curve ni baguzi sana, huwa favor wachache kwa kila jambo.
Kwa hali iliyopo Tanzania hilo suala ni gumu.
 
Na watu wengine wapo huku mtahani ambao ni" WACHAWI", ni watu wenye akili ndogo mno sana zaidi.

Yani jamii ikiwa na WACHAWI wengi kuendelea mi ngumu sana
Ila sisi huwa tunaamini sana uchawi. Kuna watu bila mganga hawana raha, ni mwendo wa mazindiko na hirizi 🤣
 
Ndio kumepelekea kuzaliwa kwa kizazi z au generation Z hiki ni kizazi Cha kuanzia mwaka 2000 kizazi baridi,hakina moto wa ndani, kizazi kilichokufa kiroho,
Ila hawa watoto wa mwaka 2000 wanakuwa haraka sana. Na wana miili mikubwa. Hasa watoto wa kike. Unakuta katoto ka kike kana miaka 16 ana matiti makubwa na ana tako kubwa mno.

Sijui chanzo ni nini?
 
Ila hawa watoto wa mwaka 2000 wanakuwa haraka sana. Na wana miili mikubwa. Hasa watoto wa kike. Unakuta katoto ka kike kana miaka 16 ana matiti makubwa na ana tako kubwa mno.

Sijui chanzo ni nini?
Vyakula vya GMO.
Kukua haraka ili kuzeeka haraka na kufa mapema hili ni suala la kiroho zaidi.
Ni ishu za population control kama,vita, ushoga, corona,uzazi wa mpango nk
 
Kama Taifa. Tuna kundi kubwa sana la watu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri yaani Akili ndogo sana (low thinking capacity/ low reasoning capacity) pia wengine wapo ndani ya serikali tena kwenye sehemu nyeti na muhimu, na wengine ni viongozi wakubwa sana. Na ndio maana kama taifa hatuendelei. Hapo tuombe Mungu dunia iishe mapema, labda tutatoboa Mbinguni.
Elimu,elimu ndo sbb kuu,aina ya elimu inayotolea,kiasi gani wanafunzi wanafaulu au pengine kufaulishwa ili kuifurahisha serikali na pia viongoz vichaa walioona kiswahili ndo kitumike kufundishia watt wetu wa nursery na primary huku wa kwao wakiwa ktk shule za english medium ndo sbb ya kuzalisha vilaza wengi,elimu yetu inahitaji mabadiliko makubwa ili kuzalisha wasomi wanaojielewa,hili haliwez kutokea kwa viongozi hawa tulionao
 
Back
Top Bottom