Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Ni utaratibu wa kiusalama ili iwe rahisi kutoka maana mkanda utachukua muda kuufungua.Hapo kigamboni dereva anaambiwa eti asifunge mkanda akiwa ktk Pantoni asa sijui ndo aweze kukimbia mambo yakiharibika yn ni kichekesho kwa kweli......
Na ukiwa ndani ya ferry gari usizime na kioo unatakiwa ukishushe ili hata ukizama usiwape Divers kazi ya kuvunja kioo uokoaji uwe wa haraka.