Tuna la kujifunza kutokana na ajali ya ferry Likoni

Tuna la kujifunza kutokana na ajali ya ferry Likoni

Hapo kigamboni dereva anaambiwa eti asifunge mkanda akiwa ktk Pantoni asa sijui ndo aweze kukimbia mambo yakiharibika yn ni kichekesho kwa kweli......
Ni utaratibu wa kiusalama ili iwe rahisi kutoka maana mkanda utachukua muda kuufungua.

Na ukiwa ndani ya ferry gari usizime na kioo unatakiwa ukishushe ili hata ukizama usiwape Divers kazi ya kuvunja kioo uokoaji uwe wa haraka.
 
Pole yao sana...

Kwani hizo ferry hazina ukingo imara wa kuzuia vyombo vya moto kuserereka?

Cc: mahondaw
Kuna ukingo kama geti na milango hiyo inainuliwa usawa wa juu ila kwa uvivu wa operator au nahodha akipandisha kidogo anaondoka ataki kubonyeza sana stick ya kupandishia mlango.

Maana ukipandisha sana itakupa muda tena wakati wa kushusha mlango , wao wanataka haraka kwa haraka.
 
Huo ni uzembe wa hali ya juu sana... Inatakiwa wachukuliwe hatua kali...

Cc: mahondaw
 
Jmn hiyo ajali imetokea lini naomba link ya tukio nami niione ndo nitoe maoni yangu.
 
Jmn hiyo ajali imetokea lini naomba link ya tukio nami niione ndo nitoe maoni yangu.
Siku 3 zilizopita angalia youtube andika likoni ferry disaster.ukiiona ile gari inavyoelea aisee yaani kila nikikumbuka hii video na kumfikiria mama na mtoto roho inaniuma sana.
 
Hizo ferry ziwe na watu wanaohakikisha hakuna mtu anakaa ndani ya gari liwapo juu ya ferry.
Kuwe na waokoaji wao wenye ujuzi juu ya uokoaji, kama hivyo gari limetumbukia, waokoaji wangepiga mbizi kuwatoa hao wawili ndani ya gari.
 
Back
Top Bottom