Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Ni utaratibu wa kiusalama ili iwe rahisi kutoka maana mkanda utachukua muda kuufungua.Hapo kigamboni dereva anaambiwa eti asifunge mkanda akiwa ktk Pantoni asa sijui ndo aweze kukimbia mambo yakiharibika yn ni kichekesho kwa kweli......
Kuna ukingo kama geti na milango hiyo inainuliwa usawa wa juu ila kwa uvivu wa operator au nahodha akipandisha kidogo anaondoka ataki kubonyeza sana stick ya kupandishia mlango.Pole yao sana...
Kwani hizo ferry hazina ukingo imara wa kuzuia vyombo vya moto kuserereka?
Cc: mahondaw
Kuna ukingo kama geti na milango hiyo inainuliwa usawa wa juu ila kwa uvivu wa operator au nahodha akipandisha kidogo anaondoka ataki kubonyeza sana stick ya kupandishia mlango.
Maana ukipandisha sana itakupa muda tena wakati wa kushusha mlango , wao wanataka haraka kwa haraka.
Siku 3 zilizopita angalia youtube andika likoni ferry disaster.ukiiona ile gari inavyoelea aisee yaani kila nikikumbuka hii video na kumfikiria mama na mtoto roho inaniuma sana.Jmn hiyo ajali imetokea lini naomba link ya tukio nami niione ndo nitoe maoni yangu.