Tuna ma-commando wazuri, lakini je tuna Rapid Response Force?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
FIB-training-22_%289311333487%29.jpg

Ni ukweli usiopingika kuwa Jeshi letu la JWTZ lina ma-commando wazuri, na matokeo ya kujinoa kwao yameonekana hivi majuzi Comoro na hata DRC-Congo.

Lakini matukio ya hivi majuzi huko Garissa yamefanya nijiulize vizuri pointed questions.
Kenya kweli wana vifaa vizuri tu kama sisi.
Lakini response kwa shambulio la majahili ya AlShabab imewachukua muda mrefu sana kufika eneo la tukio na hata kuwa na tactical initiative ya situation yenyewe, yaaani kuiweka sehemu ya mapambano chini ya control hata kama majahili hawajauliwa/kutekwa.

Najua commando anafanya kazi yake vizuri eneo la vita, na yeye kazi yake kubwa ni kuteka/kuconfuse adui ili hatimae regular forces walidhibiti eneo.
Lanini hapa tuna eneo la mapambano NDANI ya eneo ambalo ni huru, yaani walengwa wa kutekwa au kuuliwa na maadui ndio hao tunaotakiwa kuwaokoa, ikiwa ni pamoja na kuua/kudhibiti majahili kama Al Shabab.
Na hilo ndo lengo la swali langu.
Marekani wana SWAT, India wana Anti -Terrorist Squad, New Zealand wana STG-Special Tactics Group, Pakistan wana RATS-Rangers AntiTerror Squad.
Hili si swala la Kova , ni kubwa zaidi.
 
Mkuu, matukio ya Kigaidi ni mziki mwingine kabisa... Hata uwe na RRF rapid response force ya aina gani ... Jua kuwa hao magaidi wananolewa na MI6 na CIA ... Akina Samantha walivamia moles pale Westland Nairobi kasha akapotea kama upepo ...
 
Hahaha kule Amboni kwenye ile movie ya uongo na ukweli si ndio walipelekwa hao kabla ya msaada wa JWTZ...

Ina maana hao ndio walioandaliwa na serikali kwa shughuli hizo...

Mkuu FFU ni mabomu ya machozi ,virungu, na kuvunja mikutano ya vyama.
Wakipambanishwa na Al Shabab si ajabu wakaulaza kama mapolisi wa Kenya.
Inahitajika an Elite Special Tactical reponse force.
 
Mkuu, matukio ya Kigaidi ni mziki mwingine kabisa... Hata uwe na RRF rapid response force ya aina gani ... Jua kuwa hao magaidi wananolewa na MI6 na CIA ... Akina Samantha walivamia moles pale Westland Nairobi kasha akapotea kama upepo ...
Kwa kweli ni muda sasa unaofaa tuwe na kikosi kazi hiki.
 
Mkuu ufahamu wangu mdogo unaniambia kuna CRT ( Crisis Response Team) yenye wapiganaji toka FFU, formed in 2006, trained in the US unazungumzia kipi tena mkuu, ila kama ni komandos kama ulivyoweka katika hiyo picha hiyo itakua issue nyingine.
 
Mwalimu mzuri ni makosa yetu
Si vizuri kusubiri hadi makosa yatokee ndo tuchukue hatua.
Habari toka Kenya ni kwamba itelijensia ya kwamba kutatokea mashabulio ya Al Shabab walikuwa nayo.
Lakini Rapid Respose Unit yao aidha haina mafunzo au haipo, na sasa ni mara ya pili, Westgate na Garissa.
Hilo ni fundisho tosha.
 
FIB-training-22_%289311333487%29.jpg

Ni ukweli usiopingika kuwa Jeshi letu la JWTZ lina ma-commando wazuri, na matokeo ya kujinoa kwao yameonekana hivi majuzi Comoro na hata DRC-Congo.

Lakini matukio ya hivi majuzi huko Garissa yamefanya nijiulize vizuri pointed questions.
Kenya kweli wana vifaa vizuri tu kama sisi.
Lakini response kwa shambulio la majahili ya AlShabab imewachukua muda mrefu sana kufika eneo la tukio na hata kuwa na tactical initiative ya situation yenyewe, yaaani kuiweka sehemu ya mapambano chini ya control hata kama majahili hawajauliwa/kutekwa.

Najua commando anafanya kazi yake vizuri eneo la vita, na yeye kazi yake kubwa ni kuteka/kuconfuse adui ili hatimae regular forces walidhibiti eneo.
Lanini hapa tuna eneo la mapambano NDANI ya eneo ambalo ni huru, yaani walengwa wa kutekwa au kuuliwa na maadui ndio hao tunaotakiwa kuwaokoa, ikiwa ni pamoja na kuua/kudhibiti majahili kama Al Shabab.
Na hilo ndo lengo la swali langu.
Marekani wana SWAT, India wana Anti -Terrorist Squad, New Zealand wana STG-Special Tactics Group, Pakistan wana RATS-Rangers AntiTerror Squad.
Hili si swala la Kova , ni kubwa zaidi.

Wasiwasi wako nini mkuu!? 94KJ iko imara,
 
Wewe wewe wewe, naomba usicheza na jeshi letu. Shida ninayoiona ni ya upatikanaji wa haraka wa huduma pale kwenye dharura na namna ya k uwasiliana pale huduma hiyo inapokuwa inahitajika.

Ninashauri kama huduma hii haipo, ianzishwe mara moja na number maalumu z akukifikia mamlaka za kikosi hiki ziwekwe na zitawanywe ili kila Mtu, anapoona kuna jambo zito la namna ile na linahitaji msaada wa haraka apige popote pale alipo.

Tuachekutegemea polisi ambao pamoja na kutoa number za 112 sijui 111, mara zote hazipo, na kama zipo ni sehemu sehemu tu, na mara nyingi hazipatikani, na zikipatikana mara nyingi tu hazipokelewagwi hadi zinakatika, na hata zikipokelewa, polisi wanakuja kuthibitisha tu kwamba wamefika eneo la tukion akutoa pole kwa wahanga.

Hili suala linahtaji kuagaliwa vizuri. Ahsante kwa mtoa mada kwa hoja nzuri.

Na wewe ahsante kwa ku probe ili watu tujadili kwa upana.

Bongo sio huwa mna FFU?
 
Wasiwasi wako nini mkuu!? 94KJ iko imara,
mkuu
imara is a general term.be specific,wako imara ku-respond na kukabiliana na matukio ya kigaidi na ya ghafla kama ya le ya westgate/garissa university?.tusidanganyane hapa,jwtz ijipange.
 
Wewe wewe wewe, naomba usicheza na jeshi letu. Shida ninayoiona ni ya upatikanaji wa haraka wa huduma pale kwenye dharura na namna ya k uwasiliana pale huduma hiyo inapokuwa inahitajika.

Ninashauri kama huduma hii haipo, ianzishwe mara moja na number maalumu z akukifikia mamlaka za kikosi hiki ziwekwe na zitawanywe ili kila Mtu, anapoona kuna jambo zito la namna ile na linahitaji msaada wa haraka apige popote pale alipo.

Tuachekutegemea polisi ambao pamoja na kutoa number za 112 sijui 111, mara zote hazipo, na kama zipo ni sehemu sehemu tu, na mara nyingi hazipatikani, na zikipatikana mara nyingi tu hazipokelewagwi hadi zinakatika, na hata zikipokelewa, polisi wanakuja kuthibitisha tu kwamba wamefika eneo la tukion akutoa pole kwa wahanga.

Hili suala linahtaji kuagaliwa vizuri. Ahsante kwa mtoa mada kwa hoja nzuri.

Na wewe ahsante kwa ku probe ili watu tujadili kwa upana.
Kweli mkuu, na ndio maana hata mimi nimesema hapa si swala la Kova tena.
Hiyo namba ya emergency 112 ukipiga hata sasa itaita mpaka ikatike yenyewe.
Thas how the police treat emergency!!!!!!
 
Si vizuri kusubiri hadi makosa yatokee ndo tuchukue hatua.
Habari toka Kenya ni kwamba itelijensia ya kwamba kutatokea mashabulio ya Al Shabab walikuwa nayo.
Lakini Rapid Respose Unit yao aidha haina mafunzo au haipo, na sasa ni mara ya pili, Westgate na Garissa.
Hilo ni fundisho tosha.
Mkuu RRU si kwa ajili ya ugaidi tu ni kwa ajili ya maafa ya aina nyingi. Mara nyingi mazingira na matukio ndiyo huwalazimisha kujenga vitengo hivyo. Hebu tujifunze katika maafa yaliowahi kutokea nyuma kama mafuriko, ajali ya treni na kadhalika.Baada ya matukio ripoti zimeandikwa zikiwa na mapendekezo mbalimbali lakini zimefungiwa makabatini. Wenzetu pia baada ya kupata maafa mara kwa mara ndiyo wameweza kujenga vitengo hivyo na kuwa imara sana kwa sababu operesheni moja ndiyo inakupa uzoefu mzuri wa kufanya operesheni nyingine. Ndiyo maana kila linapotokea janga lolote wanajeshi ndiyo hupelekwa mbele bila kujali janga hilo linahusiana na nini na wala hawajui wanajeshi wamejifunza nini katika uokoaji. Hebu kwanza tujenge kikosi cha uokoaji na kupmbana na moto ndiyo tufike kwenye kupambana na ugaidi
 
Kikosi kipo. Ondoeni hofu. Imaaa imaaaaa.. Tanzaniaaaaaaaaaaaaa
 
Zaid ya mgambo wa city ambao najua ndo wako faster kwenye kukamata bodaboda na majungu ya mama lishe, sizan kama kunakikosi kingine cha mambo ya ghafla....
 
Back
Top Bottom