cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Kila kitu ninachomuomba hana!!! Nitumie basi vocha sina,utamsikia akijibu unakufaham huku kulivyo maduka yako mbali, kila siku maduka yako mbali, na siku akishuka huko kwenye maduka ukimuuliza mbona leo umeshuka huko madukani ujanitumia?
Utasikia uwe unanikumbusha mimi siwezi kukumbuka kila kitu! Guys Mimi nafanya kazi sio kama sina ela ya vocha, lakini Luna mda namiss upendo wake anifanyie chochote, lakini siku zinakatika, Masaa yanakatika,mwaka unaisha Hanna chochote anachonipa ata vocha tu kuniwekea Sikh moja moja anashindwa?
Ah nishamchoka nimemtambulisha kwa mdogo angu mmoja tu, familia yangu bado haimjui,japo Mimi kwao wananijua wengi kidogo akiwemo Dada ake, kaka ake na marafiki zake baadhi na mama ake ananijua,Hapa nimewaza kumtafuta mwanachuo mmoja tulosomanae chuo kimoja nianzishe nae mahusiano nianze upya .
Tuna miaka miwili yeye ni dereva jobless yupo kwa mama ake,alinidanganya umri yani aah kama nimechoka Fulani ivi, leo nimemwambia naumwa nitumie japo ela ya soda,kanambia tunakokaa hamna maduka, kwasababu uko aliko nakufaham na ninafaham fikra kuna watu anafahamiananao basi angewatuma, kwanza before akanijibu Mimi nikikuambiaga naumwa unanitumiaga ela? Mwanaume uyo ananjibu Mimi ivo, MTU mwenyewe ajasoma ananisumbua sumbua Mimi. Kuna siku nilipata hasira hadi nikamjibu izo message hapo.