Tuna miaka miwili na Mwanaume wangu ila hana anachonipa

Usitafute mahusiano km njia y’a kujipatia kipato, wewe uliwahi kumpa nini mpk utake wewe akupe.!!

Hakuna raha km kuwa na pesa zako mwenyewe hata mwanaume akikuromea unamuona km mwezi mchanga.!
 
Tatizo ni kua bado unampenda huyo jamaa, maana huu sio uzi wako wa kwanza kuuleta hapa. Lakini kiukweli kama mwanaume anakupenda kweli hata kama hana hela, hawezi ku act kama anavo act huyo jamaa yako.

Sasa cha kufanya, Muongeze mwenzake wawe wanasaidiana majukumu mpaka pale moyo wako utakapo kua tayar kuachana nae.

Inshort hakupendi
 
Labda kweli ni mbali
 
Njoo kwangu 😆
 
Lakini huwa anakumwagia manii!!?

Kama huwa anakumwagia ndani SI inatosha!!!?mengine SI ujiongeze tu!!?

Hivi unajua kuwamwagia manii ni tendo la thamani sana mjue!!Manii ni ya thamani sana mjue!!

Hivi unfikiri Yale maji mazito tunayowamwagia huwa yanatumalizia nguvu sana mwilini na Ili ku recover inachukua muda sana!!?

Shukuru sana Kwa hayo manii wewe binti!manii sio mchezo ni vile TU mmetuchukulia kama magreda na punda tusio na thamani!
Subirini Me wote tuwe chaputa muone thamani ya manii yetu!!
 
Huyu amewawakilisha wengi wao namna wanavyotuchukulia vitega uchumi.
Imagine wote mnafanya kazi na ukute yeye anakuzidi mshahara ila likija suala la matumizi nyumbani mwanaume uwajibike. Watoto wake kabisa hakusaidii hata kulipa Ada ila pesa anatuma kwa Ndugu zake.
Halipo ada
Hanunui gas ikiisha
Anataka umuongeze pesa kwenye matumizi yake ya kawaida.
Kamwe usidhani atawaza magumu unayopitia kupata pesa ya ziada ambapo angeamua tu mshirikiane usikute mngekuwa mbele kidogo ya hapo malipo kimaisha.
Women will always let you down except your mom aise hawa wengine tuishi nao hivyohivyo tu
 
Wewe mbona humpi?
 
Ahaaaa
Mwanadada uliefikachuo usije jidanganya ukadate mwanaume ambae Hana elimu at least ya secondary
Ni mizigooo .
Simba alizidiwa anakula hata majani ila aisee those guys ni shida.elimu ni elimu tu
 
Wewe umewahi kumpa nini
 
achana nae mwaya
 
Huyu dada kaandika story ya maisha yangu. Na me nina huyo boyfriend tumekuwa in two years relationship Ila sijawahi kutambulishwa kwao wala ndugu yeyote. Sijawahi kupewa hata elfu 10 ya bahati mbaya, na aliajiriwa ingawa now anafanya biashara zake Ila hata ukiomba mnaweza mkagombana Maana atakavyotwist hiyo mada ili mnuniane weeks or months. Ila akiwa na upwiru anakucheck akianzia mbaliii, kweli kuna wanaume hawapendeki. Yaani unamvumilia ukiamini anajitafuta kumbe anakuona zoba. Dada chapa lapa, wanaume wazuri Mbona wapo. Hata Kama asipokupa milioni Ila hatoshindwa kukupa buku ya vocha kwa hiari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…