Tuna miaka miwili na Mwanaume wangu ila hana anachonipa


Wewe unatafuta elimu au mwanaume?
 
Wanawake mna roho mbaya sana, miaka miwili tu na unajuwa wenzako hana kazi unakuja kumtangazia huku jf. Inawezekana yeye angekuwa na kazi na wewe huna wala asingekutangaza. Badilikeni na wewe huna sifa za kuolewa ni wale wa kuweka na kusepa kwa aina ya roho yako na unapendezea u single mama.
 
Nitumie namba Yako pm
 
Mmeona vijana wenzangu...
Tafuteni hela, na tuendelee kutafuta hela.
Wanachotaka wao ni helaa tuuu.

Tuwape hizo hela ili tuendelee kula hizo mbuny(e).
Toa hela, ukiona maji yamezidi unga basi Kimbiaaaa .....

#YNWA
 
Kama mzigo ashajilia vya kutosha hata ukichapa lapa fresh tu unaenda kwingine ukatumike zaidi
 
Miaka miwili hata mimba hajakupa? Achana nae, tafuta mwanamme mwenye pesa.
 
Nimeona mpk sasa hujatoa papa kwa mwana. Inakuaje akuhudumie.






KAZI ni kipimo cha UTU
 
kama hakupi unachomuomba mpe wewe anachokuomba!!! sio kwa vile unamiliki apuchi ndo uhudumiwe!!!"kama unarambo wewe yeye ana muwa"!!!
 
We nae ombaomba sana,sema nini jamaa ana PhD ya sound..
 
Pole sana bibie
 
Sasaaa unatakaje madam ,tuchukue fimbo tukamchape au tumseme Kwa mama yake kwamba akupi helaa au unataka bwana mpya uku JF ....uku utaliwa kimasihara Hadi ww mwenyewe kuja kushtuka unakuta unachekaa mwenyewe badala ya kuhuzunika ....
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…