Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Muwekee limbwata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaio huwezi nisimulia hukuFungua pm nkutumie 😎
Huku wambea wengi na haitakiwi kumwaga kuku kwenye mchele mwingi 😎Kwaio huwezi nisimulia huku
Sidanganyi ng'ooo,,enda mwenyeweHuku wambea wengi na haitakiwi kumwaga kuku kwenye mchele mwingi 😎
Jamaa hajashindwa vocha ya buku, ila aliombwa usiku muda ambao maduka yamefungwa na mngn yako mbali 😎Piga chini muache kimya kimya tafuta wa standard yako bhana yaani umemrahisishia hata vocha ya buku nayo kashindwa 😅😅😅😅😅😅
tupo huko huoni kimya
Uko wapi kwani?Kila kitu ninachomuomba hana!!! Nitumie basi vocha sina,utamsikia akijibu unakufaham huku kulivyo maduka yako mbali,kila siku maduka yako mbali,na siku akishuka huko kwenye maduka ukimuuliza mbona leo umeshuka huko madukani ujanitumia?
Utasikia uwe unanikumbusha mimi siwezi kukumbuka kila kitu!!! Guys Mimi nafanya kazi sio kama sina ela ya vocha,lakini Luna mda namiss upendo wake anifanyie chochote,lakini siku zinakatika,Masaa yanakatika,mwaka unaisha Hanna chochote anachonipa ata vocha tu kuniwekea Sikh moja moja anashindwa?
Ah nishamchoka nimemtambulisha kwa mdogo angu mmoja tu,familia yangu bado haimjui,japo Mimi kwao wananijua wengi kidogo akiwemo Dada ake, kaka ake na marafiki zake baadhi na mama ake ananijua,Hapa nimewaza kumtafuta mwanachuo mmoja tulosomanae chuo kimoja nianzishe nae mahusiano nianze upya .
Tuna miaka miwili yeye ni dereva jobless yupo kwa mama ake,alinidanganya umri yani aah kama nimechoka Fulani ivi,Leo nimemwambia naumwa nitumie japo ela ya soda,kanambia tunakokaa hamna maduka,kwasababu uko aliko nakufaham na ninafaham fikra kuna watu anafahamiananao basi angewatuma,kwanza before akanijibu Mimi nikikuambiaga naumwa unanitumiaga ela? Mwanaume uyo ananjibu Mimi ivo,MTU mwenyewe ajasoma ananisumbua sumbua Mimi.kuna siku nilipata hasira hadi nikamjibu izo message hapo.
Acha uongo ww mkazi wa Njombe, PM ipi hy upo na Mm?tupo huko huoni kimya
Kabla hajawa na wewe, wapo aliowafanyia hicho unachotamani kufanyiwa, lakin hakuna shukrani aliyoambuliaKila kitu ninachomuomba hana!!! Nitumie basi vocha sina,utamsikia akijibu unakufaham huku kulivyo maduka yako mbali,kila siku maduka yako mbali,na siku akishuka huko kwenye maduka ukimuuliza mbona leo umeshuka huko madukani ujanitumia?