Tuna miaka miwili na Mwanaume wangu ila hana anachonipa

Piga chini muache kimya kimya tafuta wa standard yako bhana yaani umemrahisishia hata vocha ya buku nayo kashindwa 😅😅😅😅😅😅
 
Jamaa hajashindwa vocha ya buku, ila aliombwa usiku muda ambao maduka yamefungwa na mngn yako mbali 😎
 
Safi kabisa, hao ndio vijana tunaowataka.

Kama unajiuza taja bei tukamalizane lodge nikupe hela yako kama umekubali tuingie kwenye mahusiano ya kimapenzi basi wewe kama mtu mzima mwenye nguvu na akiki timamu unawajibika kifanya kazi ujihudumie mahitaji yako.

Jukumu la mpenzi ni kukupa mapenzi sio vocha au hela.
 
Kila kitu ninachomuomba hana!!! Nitumie basi vocha sina,utamsikia akijibu unakufaham huku kulivyo maduka yako mbali,kila siku maduka yako mbali,na siku akishuka huko kwenye maduka ukimuuliza mbona leo umeshuka huko madukani ujanitumia?

Utasikia uwe unanikumbusha mimi siwezi kukumbuka kila kitu!!! Guys Mimi nafanya kazi sio kama sina ela ya vocha,lakini Luna mda namiss upendo wake anifanyie chochote,lakini siku zinakatika,Masaa yanakatika,mwaka unaisha Hanna chochote anachonipa ata vocha tu kuniwekea Sikh moja moja anashindwa?

Ah nishamchoka nimemtambulisha kwa mdogo angu mmoja tu,familia yangu bado haimjui,japo Mimi kwao wananijua wengi kidogo akiwemo Dada ake, kaka ake na marafiki zake baadhi na mama ake ananijua,Hapa nimewaza kumtafuta mwanachuo mmoja tulosomanae chuo kimoja nianzishe nae mahusiano nianze upya .

Tuna miaka miwili yeye ni dereva jobless yupo kwa mama ake,alinidanganya umri yani aah kama nimechoka Fulani ivi,Leo nimemwambia naumwa nitumie japo ela ya soda,kanambia tunakokaa hamna maduka,kwasababu uko aliko nakufaham na ninafaham fikra kuna watu anafahamiananao basi angewatuma,kwanza before akanijibu Mimi nikikuambiaga naumwa unanitumiaga ela? Mwanaume uyo ananjibu Mimi ivo,MTU mwenyewe ajasoma ananisumbua sumbua Mimi.kuna siku nilipata hasira hadi nikamjibu izo message hapo.
Uko wapi kwani?
 
Maji Baridi una hekaheka sana kulikoni mpendwa?

Kabla hajawa na wewe, wapo aliowafanyia hicho unachotamani kufanyiwa, lakin hakuna shukrani aliyoambulia

Je wew ni nani?
Una tofauti gani na hao wengine waliopita?

Binadamu tunapitia mengi sana
 
Ki uhalisia kwa kuhofia future yako mbele ya safari lazma ujaribu motambo kama hivyo uone kiwango chake cha utoaji..kama mbahili na hajui kuwajibika katika uchumba tegemea kuwa single mama aliye ndani ya ndoa..kama unatukanwa uchumba jua ndani ya ndoa ni matusi yataambatana na kipigo mpaka unazeeka..mwanaume ambae hajui kuwajibika ni mzigo wa misumari hawabebeki mtaishiwa pesa ya unga ndani nae atakuuliza hivi hatuli hapa badala ya kuleta suluhu mambo yaende yeye ndo anakuwa kikwazo kwa kutowajibika kwa familia..maisha ya ndoa hayana formula ila kwa utafiti wangu usio tasmi most of them wapo hivo
 
Back
Top Bottom