cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 325
- 1,130
Nina mpenzi wangu ni mpole Sasa mimi muongeaji Sasa Kila nikiongea anasema naongea Sana lakini siongeagi Kwa ugomvi ni Ile tu kutaka nae achangamke asipoe Sana lakini mwezangu anaona kero Sasa na mimi kukaa tu bila kuongea siwezi ananambia ndo mana napendaga kukaa peke angu una makelele mda wote kuongea ongea nusu nilie maneno yananiumiza na mostly ananambia nina mdomo napendaga tu nimpigishe story kumbe hataki Sasa kukaa kimya tu nitaweza kweli?
Mnanishauri nini nianze kuvunga nijilazimishe kukaa kimya japo Sio nature yangu Sasa au nifanyeje mwezenu Sio huyu tu wanaume wote nilowahi date nao wananiambiaga naongea Sana Sasa nifanyeje na ndo nipo ivo jamani!!!! Kuna mtu simpendi hum jf ningejua Id yake ningemblock Yani anafatiliaga kila ninachopost na tumefahamiana humu humu hanijui simjui.😌😌