Tuna miezi mitatu kwenye mahusiano lakini anachukia mimi kuongea sana

Nina mpenzi wangu ni mpole Sasa mimi muongeaji Sasa Kila nikiongea anasema naongea Sana lakini siongeagi Kwa ugomvi ni Ile tu kutaka nae achangamke asipoe Sana lakini mwezangu anaona kero Sasa na mimi kukaa tu bila kuongea siwezi ananambia ndo mana napendaga kukaa peke angu una makelele mda wote kuongea ongea nusu nilie maneno yananiumiza na mostly ananambia nina mdomo napendaga tu nimpigishe story kumbe hataki Sasa kukaa kimya tu nitaweza kweli?

Mnanishauri nini nianze kuvunga nijilazimishe kukaa kimya japo Sio nature yangu Sasa au nifanyeje mwezenu Sio huyu tu wanaume wote nilowahi date nao wananiambiaga naongea Sana Sasa nifanyeje na ndo nipo ivo jamani!!!! Kuna mtu simpendi hum jf ningejua Id yake ningemblock Yani anafatiliaga kila ninachopost na tumefahamiana humu humu hanijui simjui.😌😌

Red flag, hakupend ndiomana anaon kero zako kwenye kuongea.
 
yuko sawa punguza kuongea sana tafta hela we mwanamke
 
Ke kua muongeaji sana haipendezi na mbaya zaidi huwa wanaongea pumba tu.
Kuna demu o'level alikua anaongea vibaya mno, ila ndo ivo ni pumba na story za kitoto kitoto kinoma.

Ni rahisi kwa mwanaume muongeaji kumfurahisha Ke mpole kwa jokes mbalimbali ila ni ngumu kwa Ke muongeaji kumfurahisha Me mpole.

Huwa ni kero kwakweli.
 
Back
Top Bottom