cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 325
- 1,130
Uko sahihi mkuu, muda mwingi watu wanaoongea saana wanakuwa ni watema pumba, wajuaji na wenye IQ ndogo...mm nina jamaa yangu anaongea huyo mdomo haupumziki .Hakupendi huyo, itakuwa kuna kitu anafaidika kuwa na wewe lakini sio upendo.
Ila na wewe punguza ngenga, ukute unabwabwaja sana tena ukute ni pumba tupu.
Sasa Kila mwanaume anakuambia una kamdomokamdomo Sasa huyu wa Sasa atakuvumiliaje? Kama huwezi kuacha hako kamdomokamdomo endelea kuitembeza utapata was kufanana na huo mdomo wako .Nina mpenzi wangu ni mpole Sasa mimi muongeaji Sasa Kila nikiongea anasema naongea Sana lakini siongeagi Kwa ugomvi ni Ile tu kutaka nae achangamke asipoe Sana lakini mwezangu anaona kero Sasa na mimi kukaa tu bila kuongea siwezi ananambia ndo mana napendaga kukaa peke angu una makelele mda wote kuongea ongea nusu nilie maneno yananiumiza na mostly ananambia nina mdomo napendaga tu nimpigishe story kumbe hataki Sasa kukaa kimya tu nitaweza kweli? Mnanishauri nini nianze kuvunga nijilazimishe kukaa kimya japo Sio nature yangu Sasa au nifanyeje mwezenu Sio huyu tu wanaume wote nilowahi date nao wananiambiaga naongea Sana Sasa nifanyeje na ndo nipo ivo jamani!!!! Kuna mtu simpendi hum jf ningejua Id yake ningemblock Yani anafatiliaga kila ninachopost na tumefahamiana humu humu hanijui simjui.ππ
Punguza mdomoSio huyu tu wanaume wote nilowahi date nao wananiambiaga naongea Sana
Ujapendwa shtuka wewe yaani mtu unayempenda unatamani aongee mpk basi Sasa huyu wa kukuona kero anakutumia tu ππππNina mpenzi wangu ni mpole Sasa mimi muongeaji Sasa Kila nikiongea anasema naongea Sana lakini siongeagi Kwa ugomvi ni Ile tu kutaka nae achangamke asipoe Sana lakini mwezangu anaona kero Sasa na mimi kukaa tu bila kuongea siwezi ananambia ndo mana napendaga kukaa peke angu una makelele mda wote kuongea ongea nusu nilie maneno yananiumiza na mostly ananambia nina mdomo napendaga tu nimpigishe story kumbe hataki Sasa kukaa kimya tu nitaweza kweli? Mnanishauri nini nianze kuvunga nijilazimishe kukaa kimya japo Sio nature yangu Sasa au nifanyeje mwezenu Sio huyu tu wanaume wote nilowahi date nao wananiambiaga naongea Sana Sasa nifanyeje na ndo nipo ivo jamani!!!! Kuna mtu simpendi hum jf ningejua Id yake ningemblock Yani anafatiliaga kila ninachopost na tumefahamiana humu humu hanijui simjui.ππ
Sijui jinsia yako ila kuongea sana haipendezi. Jifunze kufunga mdomo au kamdomo kakuponze. Kama chakula cha usiku anakupa tulia. Badilika wewe sio yeye. Kamdomo katakuponzaNina mpenzi wangu ni mpole Sasa mimi muongeaji Sasa Kila nikiongea anasema naongea Sana lakini siongeagi Kwa ugomvi ni Ile tu kutaka nae achangamke asipoe Sana lakini mwezangu anaona kero Sasa na mimi kukaa tu bila kuongea siwezi ananambia ndo mana napendaga kukaa peke angu una makelele mda wote kuongea ongea nusu nilie maneno yananiumiza na mostly ananambia nina mdomo napendaga tu nimpigishe story kumbe hataki Sasa kukaa kimya tu nitaweza kweli?
Mnanishauri nini nianze kuvunga nijilazimishe kukaa kimya japo Sio nature yangu Sasa au nifanyeje mwezenu Sio huyu tu wanaume wote nilowahi date nao wananiambiaga naongea Sana Sasa nifanyeje na ndo nipo ivo jamani!!!! Kuna mtu simpendi hum jf ningejua Id yake ningemblock Yani anafatiliaga kila ninachopost na tumefahamiana humu humu hanijui simjui.ππ