Tuna miezi mitatu kwenye mahusiano lakini anachukia mimi kuongea sana

Ila huwa inakera sometimes,kuna wanawake wanongea mpaka wanapitiliza nadhani wewe ndio wa aina hiyo...
 
Mkuu vp ile YAKUZ na YAVUZ haifanyi kazi hapa?
YAKUZ na YAVUZ hii sio kwa watu kama hao hii inahitaji mtu mwenye despline ya hali ya juu ..

Angalia kama mimi leo ninachukua 5M kwa kuzingatia matumiz ya YAKUZ na YAVUZ tuu mkuu just imagine
 
Inavyoobekana itakuwa na mdomo sana. Haiwezekani kwenye hao wote asipatikane hata mmoja wa kukuvumilia.

Punguza mdomo, mkuu. Utalaumu tu watu.
 
Huo mda wa kuongea hovyo ingia jamii forum soma makala mbalimbali.
Sipendi mtu anayeongea ongea.
Kuna wakati unahitaji mtu ambaye mtakaa na kujadili mambo ya msingi alafu ye unakuta anazungumzia sex fantasy.
Kama anaelekea utu uzima hapendi tena story za sijui unaniweza mara nini,unakuta kichwani ana mambo mengi alafu unamletea za kuletwa.
 
Hili ni suala la kuonea na mwenzio
 
YAKUZ na YAVUZ hii sio kwa watu kama hao hii inahitaji mtu mwenye despline ya hali ya juu ..

Angalia kama mimi leo ninachukua 5M kwa kuzingatia matumiz ya YAKUZ na YAVUZ tuu mkuu just imagine
Tufundishane basi mkuu na sisi tuchote mamilioni kupitia YAVUZ
 
Mwambie akukate ulimi kama msukure
 
Wanaume wengi hawapend wanawake roporopo Hilo lipo wazi
Kuna wanaume kuongea ongea ovyo hawapend very calmly
 
🤣Nimecheka sana
 
NAMBA YAKO YA SIMU SINA MREMBO
 
Mimi mwenyewe sipendi sana mtu anaongea hachoki anaongea ,ukiondoka masms na masimu juu.Huyu niliyenaye kashanijua anachunga mdomo wake .
 
Madem wengine jau sana nan asikilize umbea WA insta story za kina Mwijaku Mazafanta😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…