Tuna Nafasi Moja Kwa Clinical Officer Kufanya Field Au Volunteer

Tuna Nafasi Moja Kwa Clinical Officer Kufanya Field Au Volunteer

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Natural Skin Solution yenye makao yake Kibaha Tanzania, tunapenda kutangazia wahitimu wa Clinical Officer au wanafunzi wa fani ya Clinical medicine ,tuna nafasi moja tu ya field au volunteer.

Wasiliana nasi kwa 0713 039 875 kwa maelezo zaidi. (Siko hapa jukwaani muda mwingi, tumia Simu).

Ahsanteni, muwe na siku njema, kutekeleza majukumu yenu
 
Back
Top Bottom