Tuna Spika dhaifu sana na kupelekea Bunge kuacha kujadili hoja za msingi

Tuna Spika dhaifu sana na kupelekea Bunge kuacha kujadili hoja za msingi

Spika mgonjwa ghali zaidi Tanzania, Africa na duniani kwa ujumla..hii record itachukua karne nyingi sana kuvunjwa...Mtu mmoja kutumia Tsh bilion 26 kwenye matibabu halafu asipone kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu UKIMWI wake unakimbilia kwenye Ubongo sasa, no wonder ana behave namna ile
 
Kutokana na udhaifu wa mhimili wa bunge badala ya bunge kuisimamia na kuishauri serikali sasa serikali ndiyo inalisimamia na kulishauri bunge. It's the shame of the highest order.
Jana nilipo msikia mama raia namba moja akilionya bunge na kulinyooshea kidole Tena mbele ya kadamnasi nikaona spika Ndugai kaufyata halafu msaidizi wake anapiga makofi niona IPO haja ya wahusika kusimama kama mhimili huru.
 
Spika mgonjwa ghali zaidi Tanzania, Africa na duniani kwa ujumla..hii record itachukua karne nyingi sana kuvunjwa...Mtu mmoja kutumia Tsh bilion 26 kwenye matibabu halafu asipone kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na toka arudi kwenye matibabu ndiyo amekuwa wa ovyo zaidi au labda ni side effects za matibabu hayo yaliyotugharimu B26.
 
Back
Top Bottom