Tuna Tatizo la Uwezo wa Uendeshaji Uchumi Wetu?. TAZARA Asante Mchina, Vipi Mingine? Hatutafika Mahali Tukahitaji Kusaidiwa Hadi Ikulu Yetu?.

Nchi yetu inaongozwa na watu wa hovyo sn, nchi imewekeza kwenye matumizi ya anasa na ufisadi badala ya kuzalisha na kutumia kwa malengo
Kabisa mkuu,Huwa najifikiria sana "Why we are poor" wakati Mungu nchi kaibariki sana Ina rasilimali zakutosha.

Jibu ni Leadership, imagine serikali mishahara ya wabunge ilivyo Juu kwa kujadili mambo yakisenge kama kukataa mboo au vumbi la Kongo. Au ununuzi wa MaV8 kibaoo. Mawaziri wanazungushwa walewale wakati nchi inawatu ml60, Lukuvi,Mhagama sijui Makamba mara utashangaa Baraza la mawazili 2025 jipya Nape ndani huu upuuzi ukikoma nchi inasigea. Kunavijana kibaoo wanaoweza kuwa MaDC RC hata mawaziri ambao watafanya usimamizi wa maendeleo kwa juhudi zotee.
 
Kuna matatizo makubwa mawili,1.Hatuna wataalamu maana wengi wa hawa tunaowaita wataalamu huko vyuoni wanapoenda kuchota ujuzi na maarifa wanatoka kapa sana sana wanaambulia kuokoteza vijimaneno vya kiingereza wakirudi wananata na kujibaraguza kwa kuchanganya maneno ya Kiswahili na Kiingereza wakijaribu kuonesha kwamba wamesoma lakini kiuhalisia kichwani hamna kitu.
2.Hawa watu wakipewa madaraka wanaishia kuwa majizi ya kutupwa kwa lengo la kujipatia utajiri wa haraka haraka.
Huo ndiyo ukweli hakuna kingine kinachotuangusha,angalia hata mikataba ya uwekezaji tunayoingia kama nchi wanasheria wetu hawana ujuzi wa kutosha na wakipenyezewa pesa basi biashara imekwisha.
 
Hongera sanaa kwa andiko zuri. Mimi nadhani shida inaanzia kwenye maandalizi ya wataalam wetu tangu mashuleni, je wanafunzi wanaanza kufundishwa namna ya kuendesha miradi ya ukubwa tofauti tofauti? Aidha, Ukifuatilia kwenye familia nyingi sanaa utakuta kuna magomvi ya mali za urithi. Na hata hivyo wanaogombania bado hushindwa kuendeleza miradi iliyoachwa na badala yake ni ufilisi tu.
 
Tatizo ni CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…