Tuna Viongozi wenye njaa kali ndo maana wakiingia madarakani wanaanza kujibrand kwanza

Tuna Viongozi wenye njaa kali ndo maana wakiingia madarakani wanaanza kujibrand kwanza

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
📌 Taifa letu hapo ndipo Tunapokwama kila kiongozi njaa kali.

Mtu anazurura Kwenye chama miaka nenda rudi hafanyi kazi ajishughurishi siku akapewa kitengo Taifa analifanya lake.

VIONGOZI WOTE NJAA KALI.. CHA MSINGI KIJANA PAMBANA PIGA KAZI.
 
Back
Top Bottom