Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,060
Kweli kabisa PPP kwa kiasi ingesaidia kupunguza mzigo kwa serikali, mbali na sababu nyingi za umaskini na hili la serikali kuwa busy kugawa pesa kwenye taasisi ambazo hazina tija wala ufanisi kwa serikali limo.Uko sahihi kabisa mkuu. Hivyo taasisi hizo hazina tija wala ufanisi zimebaki kua mzigo. Taasisi ikiwa mzigo kwa muda mrefu ni bora zaidi ingebinafsishwa kwa mtindo wa Private Public Partnership PPP
Tuna project lakini sio sustainable baadae zinageuka kuwa mzigo kwa serikali. Zitabaki propaganda za kisiasa ila ukweli hatuwezi kuendelea kamwe.