Tuna vyuo vya Kilimo lakini hatuna wakulima wakubwa, Tuna SIDO lakini hatuna viwanda vidogo

Tuna vyuo vya Kilimo lakini hatuna wakulima wakubwa, Tuna SIDO lakini hatuna viwanda vidogo

Wasomi wana kisingizio chao pendwa cha Mitaji.

Hivi mbona taasisi ya utafiti wa kilimo UKILIGULU siyo maarufu sana kama NALIENDELE?


(Not sure with the spellings in capital letters)

Lakini taasis hazina tatizo la mtaji. Tena taasisi hizo zinaweza hata kuwapa mitaji graduates wao ili waende kupractice walichosomea vyuoni
 
Ni kweli pole sana. Mimi binafsi nimeapa sitakuja kufanya kilimo maishani mwangu. If anything naweza kununua mazao na kuuza ili kujiondoa kwenye risks associated na kilimo. Kwa tanzania kilimo ndio biashara inayoongoza kwa failure rate na risks
Ni kweli
 
Nakupongeza kwa kufanikiwa kufumba macho ili usivione viwanda vidogo vilivyoenea nchi Naima. Jitahidi pia kutokutembelea maonyesho ya viwanda popote pale nchini.
 
Wakulima wakubwa wapo

Kuna Mkulima anaitwa Cheusi wa Kiteto huyu Mkulima nilisikia ana matrekta elfu mbili (2,000 agricultural tractors )
 
Back
Top Bottom