Kweli kabisa PPP kwa kiasi ingesaidia kupunguza mzigo kwa serikali, mbali na sababu nyingi za umaskini na hili la serikali kuwa busy kugawa pesa kwenye taasisi ambazo hazina tija wala ufanisi kwa serikali limo.Uko sahihi kabisa mkuu. Hivyo taasisi hizo hazina tija wala ufanisi zimebaki kua mzigo. Taasisi ikiwa mzigo kwa muda mrefu ni bora zaidi ingebinafsishwa kwa mtindo wa Private Public Partnership PPP
Hapa Bongo hakuna kitu.
Nakuambia hakuna kitu ni Nadharia TU.
Kweli kabisa PPP kwa kiasi ingesaidia kupunguza mzigo kwa serikali, mbali na sababu nyingi za umaskini na hili la serikali kuwa busy kugawa pesa kwenye taasisi ambazo hazina tija wala ufanisi kwa serikali limo.
Tuna project lakini sio sustainable baadae zinageuka kuwa mzigo kwa serikali. Zitabaki propaganda za kisiasa ila ukweli hatuwezi kuendelea kamwe.
Kweli kabisa PPP kwa kiasi ingesaidia kupunguza mzigo kwa serikali, mbali na sababu nyingi za umaskini na hili la serikali kuwa busy kugawa pesa kwenye taasisi ambazo hazina tija wala ufanisi kwa serikali limo.
Tuna project lakini sio sustainable baadae zinageuka kuwa mzigo kwa serikali. Zitabaki propaganda za kisiasa ila ukweli hatuwezi kuendelea kamwe.
Sua wana maeneo makubwa sana wanayoyamiliki nini maana yake kama hawawezi c wayagawe kwa wananchi kuliko kuyashikilia mtoa mada kaongea vizuri sana nilitegemea Sua kuwe na kila kitu kinachousu kilimo na mifugo Ata field zifanyike palepale na iwe sehemu ya chuo kujiingizia kipato na kufanya tafiti kubwa kuusu mazao na mifugo cyo kungoja kila kitu kifanywe na serikaliMawazo mgando kweli. Kwani IFM au TIA wanamiliki mabenki na maduka makubwa kwa sababu ya kufundisha Uhasibu na Biashara? Kazi ya chuo ni kufundisha kupitia maabara, vishamba vidogo vya mafunzo na kupitia ushirikiano na taasisi zingine wakati wa field training na sio kufanya uzalishaji au biashara moja kwa moja. Vyuo havina shida,shida ipo kwenye mipango ya serikali. Mtu anamaliza veta lakini hapewi msaada wa kununua vifaa vya ufundi kwanini asiwe bodaboda! Theres a lot to be done at gvt level than blaming training institutes
Sua wana maeneo makubwa sana wanayoyamiliki nini maana yake kama hawawezi c wayagawe kwa wananchi kuliko kuyashikilia mtoa mada kaongea vizuri sana nilitegemea Sua kuwe na kila kitu kinachousu kilimo na mifugo Ata field zifanyike palepale na iwe sehemu ya chuo kujiingizia kipato na kufanya tafiti kubwa kuusu mazao na mifugo cyo kungoja kila kitu kifanywe na serikali
Ngwanakilala wewe binafsi ulisoma taaluma gani na sasa unafanya kazi gani? Ajira? Consultancy? Kilimo? Biashara? Siasa? Tuanzie hapo! Kama ni ajira, kwanini. Kama ni biashara au kilimo kubwa kubwa, ulianzaje!
WajalalaniMkuu umesahau na maprofeseri
Nilijaribu kuwekeza kwenye kilimo nikakwama kwenye maji yani serikali wamenipimia maji eneo langu wakadai yapo nikatufta kampun ikachimba yakakosekana more than 20 millions nimedamage sasa nifanye nini..nilikua nampango wakuanza na soko la ndani halafu soko la nje najua ningelipata tu japo kuna urasimu mwingi..sadly the dream was paused
Wasomi wana kisingizio chao pendwa cha Mitaji.
Hivi mbona taasisi ya utafiti wa kilimo UKILIGULU siyo maarufu sana kama NALIENDELE?
(Not sure with the spellings in capital letters)
Mkuu hata nikisema niwashitaki tutaishia kusumbuana tu hakutakua na cha maana sana.. ni risk kubwa nimechukua lakini nawaza plan b ili kufikia lengoNdugu
Hapo serikali imekutia hasara nadhani unaweza kushitaki ili ulipwe fidia. Pia kama ulichukua mkopo basi mkopo huo unayo bima jaribu kuangalia vizuri hizo documents.
Pia nadhani ulitake too big of a risk bila proper analysis and due deligence. Ungeangalia kama kuna watu wamefanikiwa kuchimba kisima eneo hilo. Ni mbaya sana kua wakwanza au kureivent the wheel
Mkuu hata nikisema niwashitaki tutaishia kusumbuana tu hakutakua na cha maana sana.. ni risk kubwa nimechukua lakini nawaza plan b ili kufikia lengo