Ni kweli pole sana. Mimi binafsi nimeapa sitakuja kufanya kilimo maishani mwangu. If anything naweza kununua mazao na kuuza ili kujiondoa kwenye risks associated na kilimo. Kwa tanzania kilimo ndio biashara inayoongoza kwa failure rate na risks
Nakupongeza kwa kufanikiwa kufumba macho ili usivione viwanda vidogo vilivyoenea nchi Naima. Jitahidi pia kutokutembelea maonyesho ya viwanda popote pale nchini.
Naomba kuuliza kwani Tanzania ya viwanda imekwama wapi..Na vipi vile viwanda 100..Waziri alisema vimejengwa....Bank ya kilimo Tanzania inamkopesha mkulima wa level gani! Kama Kuna mkulima amewahi kukopa hapo Naomba utaratibu!