The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Yeye mwenyewe, anakusanya watu wengi tu, humo mabarabarani!Kiongozi wa nchi hii mi simuelewi kabisa kuhusu hili,. Nimemtafakali sana ila nashindwa kabisa kumuelewa
Nimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa kitisho kikubwa cha kusambaza hiyo corona?...
pole sana kamama kama kweli hali ipo hivi basi kuna hatari kubwa mbelen kwa watanzaniaHapa tuna msiba babu yetu amefariki jana na covid. Kesho tunapandisha maiti[emoji26]
Jana aunt yangu amezikwa. Its scary aisee.
Yes, aunt kafia korogwe tanga. Babu kafia muhimbili. Yaan it means iko kila mahali. Nahofia itatunaliza aisee. Babu siyo mzururaji aisee.pole sana kamama kama kweli hali ipo hivi basi kuna hatari kubwa mbelen kwa watanzania
Mkuu.kwa sasa haiwezekani uache kuendelea na shughuli za kila siku kisa kuna corona....lazima tujifunze kuishi nao huu ugonjwaNimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa kitisho kikubwa cha kusambaza hiyo corona?
Ni kwanini CCM isiisitishe hii mikutano ili kuonesha mfano wa kuchukua tahadhari?
Mbali na hizo ziara za CCM kuna mbio za mwenge vyuo na shule ambavyo vyote hukusanya watu wengi na viko ndani ya uwezo kuvifunga ili kuwanusuru wananchi na hilo wimbi?
Sasa hapo cha kumaliza ni nini? mbona mie mwaka juzi kabla ya corona nimefiwa na watu wa karibu ndani ya wiki tu tunazika leo baada ya siku nne tunafiwa tena. Ingekuwa mwaka huu ingesemwa ni corona kwa jinsi vifo vilivyofuatana.Yes, aunt kafia korogwe tanga. Babu kafia muhimbili. Yaan it means iko kila mahali. Nahofia itatunaliza aisee. Babu siyo mzururaji aisee.
Ulisikia ni mashindano juu ya misiba ama? Na hapa hatuongelei misiba iliyopita maana naamini kaskazini maboma mengi sana tumepata misiba mwaka jana na mwaka huu. Huo mwaka juzi unaousemelea wewe ni upi wakati kwetu ni 2020 ndo imeanza onyesha madhara? Anyways, byeSasa hapo cha kumaliza ni nini? mbona mie mwaka juzi kabla ya corona nimefiwa na watu wa karibu ndani ya wiki tu tunazika leo baada ya siku nne tunafiwa tena. Ingekuwa mwaka huu ingesemwa ni corona kwa jinsi vifo vilivyofuatana.
Wewe endelea kuchapa kazi upate kipato cha kuendeleza maisha yako ya baadae, habari za Corona achana nazo. Tatizo mna macho lakini hamuoni, mnajifanya mnajua kumbe hamjui, achana na siasa ya dunia itakupotezea mda wa kukuza uchumi wako.Inasikitisha sana,ngoja tuanze kuokota miili mtaani ndio watie akili
Hujaelewa kabisa, hata hivyo wasalimie.Ulisikia ni mashindano juu ya misiba ama? Na hapa hatuongelei misiba iliyopita maana naamini kaskazini maboma mengi sana tumepata misiba mwaka jana na mwaka huu. Huo mwaka juzi unaousemelea wewe ni upi wakati kwetu ni 2020 ndo imeanza onyesha madhara? Anyways, bye
Uzuri wa corona uwe na bomu, bunduki inapita na wewe hakuna namnaNimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa kitisho kikubwa cha kusambaza hiyo corona?
Ni kwanini CCM isiisitishe hii mikutano ili kuonesha mfano wa kuchukua tahadhari?
Mbali na hizo ziara za CCM kuna mbio za mwenge vyuo na shule ambavyo vyote hukusanya watu wengi na viko ndani ya uwezo kuvifunga ili kuwanusuru wananchi na hilo wimbi?
Kama umeamniwa mazuri halafu ukichanganya na zako mbovu hapo lazima utaharibu.Za kuambiwa changanya na za kwako...