Tunaambiwa tule nyama na maziwa tupate protein; Je, ng’ombe hutoa wapi hizo protein na hali nyama wala kunywa maziwa?

Tunaambiwa tule nyama na maziwa tupate protein; Je, ng’ombe hutoa wapi hizo protein na hali nyama wala kunywa maziwa?

Inawezekana. Additionally, kuna essential proteins zisizopatikana kwenye wanyama, mpaka ule mimea
Nasikia hii dhana ya kupata protein toka kwenye nyama na maziwa ilipewa msukumo mkubwa sana na makapuni ya uchakataji nyama ya ng’ombe na kuku huko Marekani ili kuongeza mauzo, walifanikiwa sana..
 
Nje ya mada

Wanasemaga kama mtu kanywa sumu eti akipewa maziwa anapona.

Hili lina ukweli wowote?
 
Mnasemaga ooh.sasa nimesoma logarithm itanisaidia nin maishan...etc

Wengne ooh chemistry itanisaidia nin maishan..sasa ungesoma chemistry ya form 1 tu ungeweza jijibu mwenye mfano mdogo tu ambao ni simpo kabisa

Chuma + maji=rust
2H +O=H20 balance charges mwenyew

Kwahyo chochote kinawezekana

Ndomana nasemaga..alieumba hii dunia si mchezo..ni zaid ya mwanasayansi.ni zaid ya genius..ni zaid ya chochote...na hakosei ..yuko very precise na accurate katika project zake..yaan huyo Mungu mambo anayoyajua siwez hata imagine...ni level nyingne
 
Back
Top Bottom